Uume unaniwasha ndani kwa ndani, nifanye nini?

Huo muwasho wa mwili ni Scabies I think
 
Kaonane na specialist wa ngozi na uchukuliwe vipimo zaidi. Yaamkini ugonjwa mpya umeibuka.
 
Watu bhana gono vipi? Sijatembea na demu Nina mwezi na ninawashwa mwili mzima aswa ikifika usiku mwanzo nilianza kuwashwa ngozi na sa hivi imeamia kwenye mboo Inawasha Ndani kwa Ndani na sio kwa nje

Sijakuelewa mkuu

Sijakuelewa mkuu
Bottom line is, nenda hospitali
 
Unawashwa uume pekee yake?
 
Nda hospital na uaAche umalaya
 
Kwanini unafanya ngono zembe? Umepima na UKIMWI? Yawezekana amekuambukiza na HIV pia.
Ndio nimejifunza kaka nashkuru nikaenda kupima hadi hiv lkn ikawa negative yaan hawa wadada sio hata wa kuwaamini nimekoma kuparamia paramia ovyo gono sio mchezo yaan ule muwasho hadi kutembea vzr unashindwa
 
Hiyo
Mkuu gono halichukuag hata masaa ma 5 lazima lijibu kwa mwanaume sio siku mbilii
Katumia lugha ya picha ktk kichwa cha habari yake kwanini kaweka mkazo wa muwasho katika mboo kama ilikuwa mwili mzima mbona hajaweka mkazo katika goti au pua huyu ana gono tu
Na magono yapo mengi kuna Gono la

Neisseria Gonorrhoea hapa utapata Gono la kisonono hapa usahaa unakuhusu

Kuna Gono la treponema Pallidum hapa utapata kaswende
Kuna Gono la haemophilus ducreyi hapa utapata pangusa

Kiugupi magono yapo mengi inategemea unaekutana nae amekupa gono gani vijana oeni la sio haya magono yatawatafuna sana madada wa Leo wapo kimsalahi mtu mmoja anawapangq folen mchana yupo na Huyu jioni yupo na yule kesho asubuh yupo kwako
 
Inaweza kubwa mchafuko WA damu, tumia Aasali changanya na mdalasini. MUHIMU KAMA HALI INAKUA MBAYA WAHI HOSPITAL .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…