MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Dr wa mapenzi😂Baada ya afu 7 za uchaguzi kuisha umeanza kutoa elimu ya uzazi umeachana na samuya.
We mzee kwani nimesema uongo?😄😂😂😂😂
Hapo sijajua bwasheeWe mzee kwani nimesema uongo?
UMENIKUMBUSHA YULE DADA ALIE MSIFU JAMAA YAKE ANASUKUMA KIUNO HASWA MWISHOWE WAKAACHANA KWA MATUSI MPAKA KUPELEKANA POLISI MKUU MAPENZI HAYANAGA FORMULAWanawake wanakuwaga na changamoto za hapa na pale zisizotabirika ila kupitia uume uliosimama vyema huwa tunawatuliza kupitia lile tendo. Mwenye visirani visivyoeleweka dawa yake ni mtinyama. Piga mashine kisawasawa.
Kijana tunza sana afya yako ya uzazi. Jiepushe na punyeto. Kaa mbali na porn. Fanya mazoezi, kula vizuri pia pumzika kwa masaa ya kutosha. Hii itakusaidia kuwa na uume imara utakaokusaidia kuondoa rabsha ndogondogo ndoani.
HAO HUWA WANADANGANYA MKUU, KATIKA RACE AMABAZO HAZINA SHIDA SANA N WAARABU NIMEFANYA KAZI KWAO NAWAJUA HAO, KWENYE MAPENZI WAMENYOOKA SANA HUSUSANI WALE WA NJE WAMENYOOKA SANA MKUU WAKIKUPENDA, KWANZA WAO HUSHINDA NDANI TU MWANAMKE HATOKI HATA AKITAKA KWENDA SEHEMU MPAKA MUME AWEPO AU APEWE RUHUSA NA SIO KILA SIKU, NILITOKEA KUPENDA HAYO MAISHA YANI MKE ANASHINDA NDANI TU HII INAKUSAIDIA KIPUNGUZA COMPETITENCE YA WANA KITAA UNAJIKUTA UPE PEKEE YAKO AU KA MNAZIDI BASI HAMFIKI WATATU HII NI SILAHA SANA WAARABU INAWA FAVOUR, SI HAYA MAMBO YA KUGAWANA MAJUKUM YATATUMALIZA MWANAMKE AKISHA INGIA KWENYE UTAFUTAJI TU KWISHAAAAAAAChangamoto za kupiga mashine kisawasawa huwa hazikosekani ndoani. Kuna kuzoeana sana, unapiga bao moja la dakika mbili hadi kesho tena. Mwanamke naye anakosa msisimko hata ufanye nini uke ni mkavu balaa. Kuna kununiwa, ukinuniwa mtulinga nao unazira hausimami kupenya ndani. Kuna suala la lishe kama hujala kutwa nzima nguvu za kiume hupungua. Kuna vinywaji huondoa nguvu za kudindisha, na vingine unadidisha tu ila hupigi bao hata moja na mwisho mwanamke anachoka na kulalamika akitaka umalize kwani unamuumiza, unamchubua.
Wanawake wanakuwaga na changamoto za hapa na pale zisizotabirika ila kupitia uume uliosimama vyema huwa tunawatuliza kupitia lile tendo. Mwenye visirani visivyoeleweka dawa yake ni mtinyama. Piga mashine kisawasawa.
Kijana tunza sana afya yako ya uzazi. Jiepushe na punyeto. Kaa mbali na porn. Fanya mazoezi, kula vizuri pia pumzika kwa masaa ya kutosha. Hii itakusaidia kuwa na uume imara utakaokusaidia kuondoa rabsha ndogondogo ndoani.
Duh haki ya mungu.Uume usimame vipi wakati umebanwa na boksa muda mwingi? Labda ingekuwa hakuna kuvaa boksa unaacha mukia umeninginia tu bila kubanwabwana na kitu hapo ingekuwa freshi tu. Huko maporini bushi kuna jamii hawavai kabisa nguo ya ndani ili kulinda uimara wa mboro