Uume unatakiwa usimame mara ngapi kwa siku?

Uume unatakiwa usimame mara ngapi kwa siku?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Kama mada inavyojieleza,Moyo hudunda Mara 60-100 kwa dakika na hiki ni kiashiria tosha moyo wako una nguvu za kutosha sasa kwenye dushelele inabidi isimame Mara ngapi kwa siku kuanzia unapoamka asubuhi hadi unaingia kulala usiku dushelele langu limekua adimu sana kusimama simama tofauti na siku za nyuma.

Je hii usababishwa na msongo wa mawazo,lishe duni, kugegeda sana(Ndo burudani yangu nambari 1),kuishiwa nguvu za kiume,au ntakua mgonjwa ?
Mnijuze wastani wa kusimamisha dushelele kwa siku
OVA
[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Tafuta dem mpya halafu awe anakubania mambo utakua unasimamisha kila dk ukimfikiria.
 
piga ua galagaza asubuhi lazima lisimamee mithili ya mnazi, na lisiposimama kaa ukijua una tatizo!
 
Hata mara mia ila pale tu linapo chokozwa either kwa kuona msambwanda au.. Kupga chabo na hata kupata fursa ya kula kitu adhimu Papuchi..
 
Nkickia saut lain/nzito tu ya mwanamke... Mfano kna nkimckiaga Gea Habib wa radio ya mawingu bs uwa ctulii mpk mke wangu ananstukia n kuamua kunipa tu kam yupo karibu.... Home lakin
 
Nkickia saut lain/nzito tu ya mwanamke... Mfano kna nkimckiaga Gea Habib wa radio ya mawingu bs uwa ctulii mpk mke wangu ananstukia n kuamua kunipa tu kam yupo karibu.... Home lakin
Wazazi wake wanajua kuwa Mtoto wao unalala naye bila Nguo?
 
Unatakiwa usimame kila unapopata hisia
Lakini nzuri zaidi ukitaka kujua uko fiti ni unapoamka asubuhi ukute chuma kimesimma
 
Back
Top Bottom