Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Kama mada inavyojieleza,Moyo hudunda Mara 60-100 kwa dakika na hiki ni kiashiria tosha moyo wako una nguvu za kutosha sasa kwenye dushelele inabidi isimame Mara ngapi kwa siku kuanzia unapoamka asubuhi hadi unaingia kulala usiku dushelele langu limekua adimu sana kusimama simama tofauti na siku za nyuma.
Je hii usababishwa na msongo wa mawazo,lishe duni, kugegeda sana(Ndo burudani yangu nambari 1),kuishiwa nguvu za kiume,au ntakua mgonjwa ?
Mnijuze wastani wa kusimamisha dushelele kwa siku
OVA
[emoji41] [emoji41] [emoji41]