Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi hivi napata wasiwasi maana mpaka usiku wa manane nikimuangalia kimesimama.nimepata wasiwasi hivo naomba mnitoe wasiwasi wangu.nitashukuru naomba madocta tu au waliwahi kuona hali hii ndio wanijibu.mtoto ana miaka miwili