Uume wa mtoto kusimama kwa muda mrefu

Uume wa mtoto kusimama kwa muda mrefu

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi hivi napata wasiwasi maana mpaka usiku wa manane nikimuangalia kimesimama.nimepata wasiwasi hivo naomba mnitoe wasiwasi wangu.nitashukuru naomba madocta tu au waliwahi kuona hali hii ndio wanijibu.mtoto ana miaka miwili
 
Haina madhara kama akiwa amelala lakini kama yupo macho ipoze na maji baridi halafu mchangamshe asizubae (itamuepusha asipate hernia).
 
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi hivi napata wasiwasi maana mpaka usiku wa manane nikimuangalia kimesimama.nimepata wasiwasi hivo naomba mnitoe wasiwasi wangu.nitashukuru naomba madocta tu au waliwahi kuona hali hii ndio wanijibu.mtoto ana miaka miwili

Ni kawaida na haina madhara, ukiona hasimamishi anzaga kulia huyo asipo kuwa shoga basi -------.
 
Usiwe na wasiwasi ni hali ya kawaida sana hiyo, kwani kuna wakati hata sisi watu wazima unajikuta tu uume umesimama kwa muda mrefu ingawa huna mawazo yoyote ya ngono, ni sehemu ya mwili wa binadamu kujinyosha hasa kutokana na msukumo wa damu na uwepo wa hewa ya kutosha ya oxygen!
 
Ni kawaida na haina madhara, ukiona hasimamishi anzaga kulia huyo asipo kuwa shoga basi -------.

ni jambo la kushukuru kwamba mtoto ana ulijari wa kutosha lakini shaka ni kwamba anaweza kuja kuwa msumbufu huyo. Acheki na madaktari watamshauri zaidi
 
Nawashukuru wote kwa mawazo yenu,najua ningekuwa ktk mawazo sana endapo nisingekiona kikisimama,ila imenipa shida nilipoona kinasimama kwa muda mrefu na mahali wakasema ni damu na oxygen husababisha hivo nikaogopa mayb imeblok huko kwenye veins.nawashukuru sana
 
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi hivi napata wasiwasi maana mpaka usiku wa manane nikimuangalia kimesimama.nimepata wasiwasi hivo naomba mnitoe wasiwasi wangu.nitashukuru naomba madocta tu au waliwahi kuona hali hii ndio wanijibu.mtoto ana miaka miwili

Mkuu hilo ni tatizo kumaliza tatizo m PM KAKAKIZA ana beki tatu wake wa kike mwenye uzeofu wa matibabu ya mtoto kama wako huyo bora tu uwe unaacha wawili kwa mda mrefu.
 
Nawashukuru wote kwa mawazo yenu,najua ningekuwa ktk mawazo sana endapo nisingekiona kikisimama,ila imenipa shida nilipoona kinasimama kwa muda mrefu na mahali wakasema ni damu na oxygen husababisha hivo nikaogopa mayb imeblok huko kwenye veins.nawashukuru sana

Angalia isije ukakivunja kikisimama tena
 
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi hivi napata wasiwasi maana mpaka usiku wa manane nikimuangalia kimesimama.nimepata wasiwasi hivo naomba mnitoe wasiwasi wangu.nitashukuru naomba madocta tu au waliwahi kuona hali hii ndio wanijibu.mtoto ana miaka miwili

Ayaaa!
Kajogoo kako kataanza kuika mapema sana! Wewe subiria wakwe tu!
 
Huyo dogo atakua mpiga machine balaa!! Jiandae na kesi za mademu wa jirani
 
Ukisimama kwa huo muda mrefu huwa analia kuashiria anapata Maumivu?
 
Hamna madhara,ila kama yupo na house girl muamishe chumba,anaweza piga mashine hata kama ni kubwa
 
Back
Top Bottom