Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi hivi napata wasiwasi maana mpaka usiku wa manane nikimuangalia kimesimama.nimepata wasiwasi hivo naomba mnitoe wasiwasi wangu.nitashukuru naomba madocta tu au waliwahi kuona hali hii ndio wanijibu.mtoto ana miaka miwili
Ni kawaida na haina madhara, ukiona hasimamishi anzaga kulia huyo asipo kuwa shoga basi -------.
ni jambo la kushukuru kwamba mtoto ana ulijari wa kutosha lakini shaka ni kwamba anaweza kuja kuwa msumbufu huyo. Acheki na madaktari watamshauri zaidi
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi hivi napata wasiwasi maana mpaka usiku wa manane nikimuangalia kimesimama.nimepata wasiwasi hivo naomba mnitoe wasiwasi wangu.nitashukuru naomba madocta tu au waliwahi kuona hali hii ndio wanijibu.mtoto ana miaka miwili
Nawashukuru wote kwa mawazo yenu,najua ningekuwa ktk mawazo sana endapo nisingekiona kikisimama,ila imenipa shida nilipoona kinasimama kwa muda mrefu na mahali wakasema ni damu na oxygen husababisha hivo nikaogopa mayb imeblok huko kwenye veins.nawashukuru sana