Uume wa mtoto mdogo kusimama pamoja na kupata maumivu makali

lunyiliko

Senior Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
171
Reaction score
79
Natumai mmeamka salama wapendwa,

Naomba kuuliza kusimama kwa uume wa mtoto mdogo kwa muda mrefu kunakoambatana na maumivu makali kunasababishwa nini ? naombeni msaada wenu kama kuna mtu mwenye uelewa kuhusiana na hili kwani mtoto wangu alipata hilo tatizo jana usiku na mpaka asubuhi hii bado anaendelea kulalamikia maumivu makali anayoyapata kutokana na tatizo hilo.

Ni mtoto wa miaka mitatu.

karibuni wapendwa tubadilishane uzoefu.
 
Hili tatizo mkuu hata dogo angu anasumbuliwa sana , kama umepata ufumbuzi namie nimegee mkuu utakua umenisaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…