Uume wa Nyangumi

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Huu ni uume wa nyangumi aina ya blue whale, ndiyo unaaminika kuwa ni uume mrefu kuliko uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani.

Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5. Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji basket wa Kitanzania Hasheem Thabit mwenye urefu wa futi 7.36 tu.

Korodani zake zote zinaweza kufikia uzito wa kilogram 140, ambapo kila kila korodani ya nyangumi dume aiyekomaa inaweza kufikia uzito wa kilogram 70.
[emoji116]
 
Labda Muumba aliweka kina cha kutosha, la sivyo mpaka utumbo utasuguliwa.
 
Unafaa kwa tiba ya viba100
 
Huu ndo unawafaaa wa dada wa siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…