Uume wa Nyangumi

Uume wa Nyangumi

Kila Mwanaume dream yake ni kuwa Uume mkubwa kuliko wenzake😁
MUckxXq.gif
 
Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale,

Ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani.

Unafikia urefu wa inchi 94.45,
sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5

Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji basket wa kitanzania HASHEEM THABIT mwenye urefu wa futi 7.36 tu

Korodani zake Zote zinaweza kufikia uzito wa kilogram 140

Ambapo kila kila korodani ya nyangumi Dume Aliekomaa inaweza kufikia uzito wa kilogram 70.
[emoji116]View attachment 1819555View attachment 1819557View attachment 1819558
Ebu weka na UKE tuone
 
Back
Top Bottom