Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu weka na UKE tuoneHuu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale,
Ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani.
Unafikia urefu wa inchi 94.45,
sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5
Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji basket wa kitanzania HASHEEM THABIT mwenye urefu wa futi 7.36 tu
Korodani zake Zote zinaweza kufikia uzito wa kilogram 140
Ambapo kila kila korodani ya nyangumi Dume Aliekomaa inaweza kufikia uzito wa kilogram 70.
[emoji116]View attachment 1819555View attachment 1819557View attachment 1819558
Asee jua kali 😁Ebu weka na UKE tuone
Ha ha ha ha ha haHapo bado jamii ya mademu wa kinyangumi watakuambia hiyo futi 8 kwao ni kibamia.