Uume wake sehemu ya kichwa kwa nyuma amekuwa akitokewa na viupele vidogo ambavyo vinakuwa na maji maji

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
12,674
Reaction score
29,643
Habari za jioni wapendwa...

Kuna rafiki yangu kaja hapa Ghetto anadai kuwa uume wake sehemu ya kichwa kwa nyuma amekuwa akitokewa na viupele vidogo ambavyo vinakuwa na maji maji hivi na badae vinapasuka na kutengeneza Kama kidonda hivi.

Haviumi kivile ila aliwahi kuungua gono akatumia dawa akapona.

Sasa hivi viupele vimekuwa vikimtokea(siyo mara kwa mara) kwa nyakati tofauti anachukulia kawaida tu.

Anaomba ushauri kutoka kwenu

AKHSANTE

"Enough of No Love"
 
Dawa ni ndogo tu.Kanunue tikiti maji,litoboe kuendana na saizi ya mgegedeo wako,weka chumvi,mafuta ya taa kidogo,mkojo wa paka,soda pepsi,halafu funika na rambo/ kitambaa kwa masaa 18.Baada ya hapo toa kitambaa/rambo na upake mgegedeo wako Colgate halafu ingia kazini mpaka shoots 4 za nguvu.Baada ya SIKU 3 utatuletea feedback hapa.Utakuwa umepona kabisaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha...ushauri mwingine bhana

"Enough of No Love"
 
Back
Top Bottom