T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Habari za jioni wapendwa...
Kuna rafiki yangu kaja hapa Ghetto anadai kuwa uume wake sehemu ya kichwa kwa nyuma amekuwa akitokewa na viupele vidogo ambavyo vinakuwa na maji maji hivi na badae vinapasuka na kutengeneza Kama kidonda hivi.
Haviumi kivile ila aliwahi kuungua gono akatumia dawa akapona.
Sasa hivi viupele vimekuwa vikimtokea(siyo mara kwa mara) kwa nyakati tofauti anachukulia kawaida tu.
Anaomba ushauri kutoka kwenu
AKHSANTE
"Enough of No Love"