T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Siwezi kuficha ugonjwa kama naumwa mimi mkuu Gluk
Ngoja waje wenye uzoefu mkuu
Voxser empire
Kwema sana mkuuPamoja sana mkuu
Vipi kwema lakini
"Enough of No Love"
Hahaha...wacha tuwasubirie watalaam mkuu.Kwema sana mkuu
mim fund umeme na redio
haya mengne cjui
Voxser empire
HakikaHahaha...wacha tuwasubirie watalaam mkuu.
"Enough of No Love"
Dawa ni ndogo tu.Kanunue tikiti maji,litoboe kuendana na saizi ya mgegedeo wako,weka chumvi,mafuta ya taa kidogo,mkojo wa paka,soda pepsi,halafu funika na rambo/ kitambaa kwa masaa 18.Baada ya hapo toa kitambaa/rambo na upake mgegedeo wako Colgate halafu ingia kazini mpaka shoots 4 za nguvu.Baada ya SIKU 3 utatuletea feedback hapa.Utakuwa umepona kabisaaaa.Habari za jioni wapendwa...
Kuna rafiki yangu kaja hapa Ghetto anadai kuwa uume wake sehemu ya kichwa kwa nyuma amekuwa akitokewa na viupele vidogo ambavyo vinakuwa na maji maji hivi na badae vinapasuka na kutengeneza Kama kidonda hivi.
Haviumi kivile ila aliwahi kuungua gono akatumia dawa akapona.
Sasa hivi viupele vimekuwa vikimtokea(siyo mara kwa mara) kwa nyakati tofauti anachukulia kawaida tu.
Anaomba ushauri kutoka kwenu
AKHSANTE
"Enough of No Love"
Hahahaha...ushauri mwingine bhanaDawa ni ndogo tu.Kanunue tikiti maji,litoboe kuendana na saizi ya mgegedeo wako,weka chumvi,mafuta ya taa kidogo,mkojo wa paka,soda pepsi,halafu funika na rambo/ kitambaa kwa masaa 18.Baada ya hapo toa kitambaa/rambo na upake mgegedeo wako Colgate halafu ingia kazini mpaka shoots 4 za nguvu.Baada ya SIKU 3 utatuletea feedback hapa.Utakuwa umepona kabisaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app