Uume wangu hausimami tena

Utaanza kusimamishiwa wee, very soon

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimeanza kujichua kwenye 2019 mazoezi mimi ni mtu wa gym kila sku niko mazoezin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah eti GYM lol
 
Ukitaka kupona acha vyote,tafuta mke uoe,au hujui kuwa zinaa ni dhambi na hakuna dhambi isiyo na madhara,sasa hayo tayari ni madhara yake...
 
Una madeni ?

Kipato chako kinaridhisha?

Family yenu mko sAwa hamna migogoro ?

Kazn upepo ukoje ? Stress ?

Una tatizo la presha ? Moyo ? Kapime level ya sukari mwilini!

Achana na porno, acha kujichua, kula vzr mlo kamili ! Hakikisha kila asbh kabla ya kuoga walau una_sweat! Push ups, au nunua Kamba uwe unaruka ,,,, !

Kama Ni mnene jitahidi upungue ,,,

Jipe likizo ya Kama mwezi mmoja na fuata hayo maelekezo hapo ! Leta mrejeshoo


Huna ugonjwa Ni ishu ya psychology tu
 
Pia jaribu kubadilisha mwanAmke,,, huenda uliyepo nae huna hisia nae,,

Kingine huyo ulienae tayari anajua shida yako so ukikutana nae Tena utakuwa na hofu ya kutokupafom vizuri !!

Sio ushauri mzuri,,, tafuta Dem Malaya,,,kachukue bar au kanunue,,, utajawa na confidence, then hata usipopafom hutajickia vby coz Ni hit and run! Ukijiona upo fresh rudi kwa Dem wako !

Kama Ni mtumiaji pombe tafuta siku unywe upitilize kidg afu demu pia anywe kidogo mfanye rough sex, confidence itakuja tu !
 
Hela ndo nguvu za kiume. Kama una stress wakati wa kugegeda lazima jogoo asipande mtungi.

Tatizo la nguvu za kiume kwa asilimia kubwa ni psychological tu.
 
Duh sasa itakuwaje machine imegoma labda kuna kitu unawaza
 
Ukitaka kupona acha vyote,tafuta mke uoe,au hujui kuwa zinaa ni dhambi na hakuna dhambi isiyo na madhara,sasa hayo tayari ni madara yake...
yes mkuu moja kati ya vitu natazamia kutimiza 2024 ni ndoa inshallah
 
boss issue ya madeni kwa sasa sina deni la kunipa pressure na kuhusu kazi kulikuwa kuna project ambayo deadline ni week ijayo na majukum yake yako juu yangu ila sidhan km inaweza kunipa stress kiasi hichoo kuhusu ugonjwa wa moyo na presuure sijapima na ugomvi wa family hatuna ispokuwa viungomvi vidogo vidogo vinavyosababishwa na Wivu kuhusu unene hapana me mwembamba kuhusu likizo natarajia kuianza tareh 15 dec nashukuru saana kwa ushauri mkuu
 
mkuu nakushukuru mnoo kwa ushauri wako nitatafta malaya flan soon alafu nitaleta mrejesho
 
Hela ndo nguvu za kiume. Kama una stress wakati wa kugegeda lazima jogoo asipande mtungi.

Tatizo la nguvu za kiume kwa asilimia kubwa ni psychological tu.
ni kweli mkuu ila kuhusu pesa toka nizaliwe hiki ndo kipindi nilicho imara zaidi kiuchumi 😀 nahisi nilipaswa kwenda raundi 70
 
mkuu nakushukuru mnoo kwa ushauri wako nitatafta malaya flan soon alafu nitaleta mrejesho
Kutafuta Malya bado naona Sio Suluisho sahihii, maana utaenda kwa mentality ya kujaribu uone inamka au lah, cha kufanya tune akili yako kuwa iyo ni ishu ya kawaida inaweza mtokea mtu yeyote kwenye badhi ya mechi zake, ungekuwa haudindishi kabisa ata ukiwa peke ako ndo ungepata shaka ila kama inadinda fresh ukiwa peke ako Au ukicheki ex, Binafsi naona hauna Tatizo ni Hisia zilikata tu kwa muda uo kwa uyo mwanamke uliekua nae. Cha kufanya Kaa Muda kidogo upite ata wiki mbili afu Umuite uone kama Italala ukiwa nae

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…