Uume wangu hausimami tena

Uume wangu hausimami tena

kadunga

Member
Joined
May 4, 2020
Posts
63
Reaction score
47
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza wadau nipo kwenye hali ya taharuki toka siku ya juzi nikikutana na mwanamke uume wangu unabaki kuwa legevu tofauti kabisaa na hali yangu halisi

Ilianza hivi :
Siku 5 zilizopita nilikutana na huyu mwanamke na tendo zima lilienda vyema kabisaa nilienda round 3 bila mgogoro wowote lakini siku ya juzi (alhamisi) hali ilikuwa tofauti round ya kwanza hakukua na shida yoyote uume wangu uliamka fast ila baada ya round ya kwanza uume ulichelewa kuamka ilichukua zaidi ya dakka mbili bila kuamka hii hali ilinishangaza niliendelea kusubiri kwa zaidi ya dkk 10 nothing happened sote tulibaki kushangaa hio siku nikakausha nikaendelea na mishe nyingine siku hio hio jion nilirudi nikajaribu kukutana na yule mdada uume haukusimama duuh nilishangaa kabisaa! badae nilipoenda bafuni ikabidi nijaribu kuangalia porn videos uume ukasimama nikajichua round 2 kesho yake nikakutana na yule mwanamke pia uume hausimami

Jana nilienda kwa Dr
Nikamueleza Kaishia kunambia ni issue ya Psychology na kuwa huwa inawatokea watu wengi
ni ya kweli hayo wadau ?

wengine wamesema au ex wangu kaniroga
H

ila hili silipi uzito ukilinganisha huwa sina kanuni ya kubadili badili wanawake wa mwisho tulieachana nae ilikuwa mwanzo wa huu mwaka hatukuwa na ugomvi mkubwa bali vurugu ndogo ndogo tuu tukaachana

Umri wangu
Umri wangu 26 yrs

Kuhusu swala la porn videos na kujichua
Huwa siangalii mara kwa mara porn videos kwa mwezi mzima nawea kufululiza kutazama hizo videos kwa siku 4 na kwa siku ikawa mara mbili au 3 hivo kwa mwezi naweza zitazama mara 10 or less na kwa mwez naweza piga nyeto mara 6 mpk 10

Kuhusu kazi nazozifanya
kazi zangu si za nguvu ni kazi ofisini muda mwingi nakuwa kwenye kompyuta

KWENU WADAU NAOMBA USHAURI
 
Umeanza kucheki porn na kujichua lini yani una muda gani kwenye hayo mambo?? Embu jaribu kufanya mazoezi ya kukimbia kila asubuhi kwa week moja alafu uende ukutane na mwanamke wako uone itakujae??
 
Jibu ☝️ kiufupi haumfurahii yaani hauna hisia nae, yaan hakusisimui chochote ndio maana hausimami

Ndio maana ukasema 👇hivi
badae nilipoenda bafuni ikabidi nijaribu kuangalia porn videos uume ukasimama nikajichua round 2 kesho yake nikakutana na yule mwanamke pia uume hausimami

Huna msisimko nae yaan anakukata sitimu tafuta mwingine huyo piga CHINI
 
Kwa izo kazi zako za computer jitaidi uwe unaushugulisha mwili kwa kupiga Mazoez, Kuruka kamba, cadio, kupiga push ups na kukimbia kila unapoamka asubui kabla hujaenda kazini au jioni unaporudi kazini, utakuwa fiti kinoma uume utasimama na kuwa imara unapokutana na demu wako

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Umeanza kucheki porn na kujichua lini yani una muda gani kwenye hayo mambo?? Embu jaribu kufanya mazoezi ya kukimbia kila asubuhi kwa week moja alafu uende ukutane na mwanamke wako uone itakujae??
nimeanza kujichua kwenye 2019 mazoezi mimi ni mtu wa gym kila sku niko mazoezin
 
Jibu ☝️ kiufupi haumfurahii yaani hauna hisia nae, yaan hakusisimui chochote ndio maana hausimami

Ndio maana ukasema 👇hivi

Huna msisimko nae yaan anakukata sitimu tafuta mwingine huyo piga CHINI
ila boss imekuwa ghafla few days ago alikuwa mtam kwangu boss
 
Kwa izo kazi zako za computer jitaidi uwe unaushugulisha mwili kwa kupiga Mazoez, Kuruka kamba, cadio, kupiga push ups na kukimbia kila unapoamka asubui kabla hujaenda kazini au jioni unaporudi kazini, utakuwa fiti kinoma uume utasimama na kuwa imara unapokutana na demu wako

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
mkuu mazoezi ni sehemu ya shughuli zang za kila sk
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza wadau nipo kwenye hali ya taharuki toka siku ya juzi nikikutana na mwanamke uume wangu unabaki kuwa legevu tofauti kabisaa na hali yangu halisi

Ilianza hivi :
Siku 5 zilizopita nilikutana na huyu mwanamke na tendo zima lilienda vyema kabisaa nilienda round 3 bila mgogoro wowote lakini siku ya juzi (alhamisi) hali ilikuwa tofauti round ya kwanza hakukua na shida yoyote uume wangu uliamka fast ila baada ya round ya kwanza uume ulichelewa kuamka ilichukua zaidi ya dakka mbili bila kuamka hii hali ilinishangaza niliendelea kusubiri kwa zaidi ya dkk 10 nothing happened sote tulibaki kushangaa hio siku nikakausha nikaendelea na mishe nyingine siku hio hio jion nilirudi nikajaribu kukutana na yule mdada uume haukusimama duuh nilishangaa kabisaa! badae nilipoenda bafuni ikabidi nijaribu kuangalia porn videos uume ukasimama nikajichua round 2 kesho yake nikakutana na yule mwanamke pia uume hausimami

Jana nilienda kwa Dr
Nikamueleza Kaishia kunambia ni issue ya Psychology na kuwa huwa inawatokea watu wengi
ni ya kweli hayo wadau ?

wengine wamesema au ex wangu kaniroga
H

ila hili silipi uzito ukilinganisha huwa sina kanuni ya kubadili badili wanawake wa mwisho tulieachana nae ilikuwa mwanzo wa huu mwaka hatukuwa na ugomvi mkubwa bali vurugu ndogo ndogo tuu tukaachana

Umri wangu
Umri wangu 26 yrs

Kuhusu swala la porn videos na kujichua
Huwa siangalii mara kwa mara porn videos kwa mwezi mzima nawea kufululiza kutazama hizo videos kwa siku 4 na kwa siku ikawa mara mbili au 3 hivo kwa mwezi naweza zitazama mara 10 or less na kwa mwez naweza piga nyeto mara 6 mpk 10

Kuhusu kazi nazozifanya
kazi zangu si za nguvu ni kazi ofisini muda mwingi nakuwa kwenye kompyuta

KWENU WADAU NAOMBA USHAURI
Hakuna mwanaume anayeenda raundi mbili kwa kujichua.

Next timw uache kusema uongo
 
Back
Top Bottom