Kama kichwa cha habari kinavyoeleza wadau nipo kwenye hali ya taharuki toka siku ya juzi nikikutana na mwanamke uume wangu unabaki kuwa legevu tofauti kabisaa na hali yangu halisi
Ilianza hivi :
Siku 5 zilizopita nilikutana na huyu mwanamke na tendo zima lilienda vyema kabisaa nilienda round 3 bila mgogoro wowote lakini siku ya juzi (alhamisi) hali ilikuwa tofauti round ya kwanza hakukua na shida yoyote uume wangu uliamka fast ila baada ya round ya kwanza uume ulichelewa kuamka ilichukua zaidi ya dakka mbili bila kuamka hii hali ilinishangaza niliendelea kusubiri kwa zaidi ya dkk 10 nothing happened sote tulibaki kushangaa hio siku nikakausha nikaendelea na mishe nyingine siku hio hio jion nilirudi nikajaribu kukutana na yule mdada uume haukusimama duuh nilishangaa kabisaa! badae nilipoenda bafuni ikabidi nijaribu kuangalia porn videos uume ukasimama nikajichua round 2 kesho yake nikakutana na yule mwanamke pia uume hausimami
Jana nilienda kwa Dr
Nikamueleza Kaishia kunambia ni issue ya Psychology na kuwa huwa inawatokea watu wengi
ni ya kweli hayo wadau ?
wengine wamesema au ex wangu kaniroga
H
ila hili silipi uzito ukilinganisha huwa sina kanuni ya kubadili badili wanawake wa mwisho tulieachana nae ilikuwa mwanzo wa huu mwaka hatukuwa na ugomvi mkubwa bali vurugu ndogo ndogo tuu tukaachana
Umri wangu
Umri wangu 26 yrs
Kuhusu swala la porn videos na kujichua
Huwa siangalii mara kwa mara porn videos kwa mwezi mzima nawea kufululiza kutazama hizo videos kwa siku 4 na kwa siku ikawa mara mbili au 3 hivo kwa mwezi naweza zitazama mara 10 or less na kwa mwez naweza piga nyeto mara 6 mpk 10
Kuhusu kazi nazozifanya
kazi zangu si za nguvu ni kazi ofisini muda mwingi nakuwa kwenye kompyuta
KWENU WADAU NAOMBA USHAURI