Uume wangu hausimami vizuri, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
1.Ulitumia kinga kipindi unafanya , kuna condom huwa hazina ubora mzur na ukutane na uke mkavu inakuwa shida
2. Mazingira ya uke yalikuwaje masaf au machafu Huenda yalisababisha?
3. Je huwa unapiga nyeto.... Muda fulani inachangia kwa kiasi kikubwa?

Hebu npe majibu Kati ya hayo niliyotaja tuzidi kusaidiana?
 
nilitumia kinga..,punyeto sipigi ila ukweli mwanamke hana ushiriano kwenye sexy kalala tu
 
Hiyo ndo shida kubwa iliyokutokea akili yako ulitegemea upate kitu fulani afu ujakutana nacho mwanamke anatakiwa atoe mchango mkubwa ili uweze kuingiza vizur?

Kaa nae muongee vizur kwa lugha nzur hata kama mnaanz kwa utani umwambie vitu gan ulipenda ufanyiwe cku hiyo? ili ujue tatizo ni ushirikiano au kitu kingine? Hapo itakupa mwangaza wa kufumbua tatizo lako kwa mapana
 
aisee nakushukuru mno mkuu kwa muda na mchango wako ngoja nikalifanyie kazi hilo
 
Vijana,

Tumuogope MUNGU. Dhambi ya uzinzi ni mbaya sana, hapo unaweka hatiani uzao wako uliopo viunoni mwako. Kibaya zaidi, unakua umejiungamanisha na huyo ulie lala nae (mnakua mwili mmoja)

Na madhara unaweza usiyaone kwako ukaja kuyaona kwa watoto wako utakaoluja kuwazaa.

TUBU;

Hakuna fashion ya kua mzinifu.

Kila kitu kina wakati wake, subiri uoe ndipo ufanye.

Acha lufuata mkumbo.
 
Acha kupiga puli
 
nilitumia kinga..,punyeto sipigi ila ukweli mwanamke hana ushiriano kwenye sexy kalala tu
Mwanamke kalala tu? Khaa!! Kama kalala tu ndio mtamu huyo.. Wewe ni mpiga puli mkubwa.. Si unaona hata mikono yako hio kwenye picha inaonyesha.. Hata kama utakataa ila siti unaijua moyoni... Na usikatae sema ukweli usaidiwe jinsi ya kuacha.. We ficha tu maradhi.. Puli haDi Obama alipiga sembuse wewe....
 
Kama Ni Mke Wa Mtu Basi Achana Nae, Maana kitachofuata ni kuivunja kabisa Itasinyaa Jumla..
 
obama kupiga puli sio sababu ya mimi kupiga mkuu... NIMESEMA SIJAWAHI KUPIGA PULI. nishauri kwa jambo lingine
 
Jaman naomba kuleta kwenu jambo hili,

Nilipotaka kufanya mapenzi mara ya kwanza uume wangu haukusimama kikakamavu kitendo ambacho kilipelekea kushindwa kuingiza hata mara moja sasa nashindwa kuelewa ni nini tatizo,mpaka naogopa kujaribu tena.
Acha kupiga nyeto aka puli na kuangalia upuuzi wa pono
 
kondom zipi hazina ubora mkuu .... msaada
 
Anza kupiga masterbation ili uongeze flexibility!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…