Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo msuko sijui hair cut ni kithibitisho tosha cha walakini wa status yakoHiv mtu kwanin aweke pic za mashaka hiv tena mtoto wakiume?? Tupia kitu chako pic inatoa maneno hata 1000 ya kudiscribe personality ya mtu faham hili
Pic ndiyo nini aaaaggrrr!!!!Hiv mtu kwanin aweke pic za mashaka hiv tena mtoto wakiume?? Tupia kitu chako pic inatoa maneno hata 1000 ya kudiscribe personality ya mtu faham hili
Napata wasiwasi na umri wako. Concentrate na masomokondom zipi hazina ubora mkuu .... msaada
UNASHINDILIAJE MKUU EBU FAFANUAacha ujinga mwenzio nashindiliaga ikikataa kusimama dede kama likiwaka naendelea tu
Jaman naomba kuleta kwenu jambo hili,
Nilipotaka kufanya mapenzi mara ya kwanza uume wangu haukusimama kikakamavu kitendo ambacho kilipelekea kushindwa kuingiza hata mara moja sasa nashindwa kuelewa ni nini tatizo,mpaka naogopa kujaribu tena.
siku ingine ikitokea hivyo tafuta punje 1 ya kitunguu saumu kitoe maganda yake kisha nenda chooni kakojoe kisha inama huko huko chooni kitie hicho punje ya kitunguu saumu kwenye tundu yako ya haja kubwa hakikisha kimeingia chote na kuzama kisha nenda haraka kitandani kalale kwa dakika 5 kisha amka uume wako utasimama kama chuma cha pua na utakuwa na nguvu za ajabu sana jaribu kisha uje unipe feedback.Jaman naomba kuleta kwenu jambo hili,
Nilipotaka kufanya mapenzi mara ya kwanza uume wangu haukusimama kikakamavu kitendo ambacho kilipelekea kushindwa kuingiza hata mara moja sasa nashindwa kuelewa ni nini tatizo,mpaka naogopa kujaribu tena.
shukran mkuuusijali kijana..practice zaidi itasimama tu hyo ni kwa sababu ndio umeanza kusex...na kama unapiga punyeto acha kabisa....usisahau kujishughulisha na mazoezi..angalau kukimbia kilomita mbili na nusu kwa siku tatu au zaidi kila wiki...usisahau kula vizur na kupumzika vya kutosha angalau masaa saba hadi nane kila siku...ukizingatia hayo utapiga mzigo mpaka ushangae
mmmh shukran mkuusiku ingine ikitokea hivyo tafuta punje 1 ya kitunguu saumu kitoe maganda yake kisha nenda chooni kakojoe kisha inama huko huko chooni kitie hicho punje ya kitunguu saumu kwenye tundu yako ya haja kubwa hakikisha kimeingia chote na kuzama kisha nenda haraka kitandani kalale kwa dakika 5 kisha amka uume wako utasimama kama chuma cha pua na utakuwa na nguvu za ajabu sana jaribu kisha uje unipe feedback.
sante mkuuAcha kuogopa mwanamke unapokuwa nae kitandani, usiwaze mambo mengineyo mfano... Labda dem ana ngoma.. Au labda ntaweza leo!!
Muandae vizuri kwa kujiamini, kazia fikra kwenye mapenzi.. Tumia mda wa kutosha kumwandaa... Utaona mwenyewe kitu imeanza kusoma 3G mwishowe 4G, relax then mtibu taratiibu bila pupa ukijua kuwa wewe ni rijari,
Kama unapigaga nyeto acha... Hautafaidi warembo.. Jiamini.