Uume wangu hausimami vizuri, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Naomba unitafute, ntakutibu free of charge, hilo ni tatizo.
 
Hiv mtu kwanin aweke pic za mashaka hiv tena mtoto wakiume?? Tupia kitu chako pic inatoa maneno hata 1000 ya kudiscribe personality ya mtu faham hili
Huo msuko sijui hair cut ni kithibitisho tosha cha walakini wa status yako
 
pole sana ila inaonekana ulikuwa na mashaka jaribu tena ikiendelea kutosimama tafuta tiba
 
Repetition is the mother of knowledge and understanding!!!
Endelea kujaribu kugegeda*****na tena na tena kama Mara 30 alafu uje utupe mrejesho. Ubarikiwe Sana
 
Haya mambo huanzia kunako kichwa...
Pengine ulipata hofu ndo jogoo akakuangusha........
LABDA TUJUZE
Unapoamka asubuhi,khali ya Jogoo wako.... huwa anasimama?
 
Jaman naomba kuleta kwenu jambo hili,

Nilipotaka kufanya mapenzi mara ya kwanza uume wangu haukusimama kikakamavu kitendo ambacho kilipelekea kushindwa kuingiza hata mara moja sasa nashindwa kuelewa ni nini tatizo,mpaka naogopa kujaribu tena.

Mkuu kwani uliuloweka?
 
Acha kuogopa mwanamke unapokuwa nae kitandani, usiwaze mambo mengineyo mfano... Labda dem ana ngoma.. Au labda ntaweza leo!!
Muandae vizuri kwa kujiamini, kazia fikra kwenye mapenzi.. Tumia mda wa kutosha kumwandaa... Utaona mwenyewe kitu imeanza kusoma 3G mwishowe 4G, relax then mtibu taratiibu bila pupa ukijua kuwa wewe ni rijari,
Kama unapigaga nyeto acha... Hautafaidi warembo.. Jiamini.
 
Jaman naomba kuleta kwenu jambo hili,

Nilipotaka kufanya mapenzi mara ya kwanza uume wangu haukusimama kikakamavu kitendo ambacho kilipelekea kushindwa kuingiza hata mara moja sasa nashindwa kuelewa ni nini tatizo,mpaka naogopa kujaribu tena.
siku ingine ikitokea hivyo tafuta punje 1 ya kitunguu saumu kitoe maganda yake kisha nenda chooni kakojoe kisha inama huko huko chooni kitie hicho punje ya kitunguu saumu kwenye tundu yako ya haja kubwa hakikisha kimeingia chote na kuzama kisha nenda haraka kitandani kalale kwa dakika 5 kisha amka uume wako utasimama kama chuma cha pua na utakuwa na nguvu za ajabu sana jaribu kisha uje unipe feedback.
 
usijali kijana..practice zaidi itasimama tu hyo ni kwa sababu ndio umeanza kusex...na kama unapiga punyeto acha kabisa....usisahau kujishughulisha na mazoezi..angalau kukimbia kilomita mbili na nusu kwa siku tatu au zaidi kila wiki...usisahau kula vizur na kupumzika vya kutosha angalau masaa saba hadi nane kila siku...ukizingatia hayo utapiga mzigo mpaka ushangae
 
shukran mkuu
 
mmmh shukran mkuu
 
sante mkuu
 
Haya mambo huanzia kunako kichwa...
Pengine ulipata hofu ndo jogoo akakuangusha........
LABDA TUJUZE
Unapoamka asubuhi,khali ya Jogoo wako.... huwa anasimama?
ndio
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…