Uume wangu husinyaa kila ninapotaka kuanza tendo

Uume wangu husinyaa kila ninapotaka kuanza tendo

conco

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
25
Reaction score
7
Habari wanajamvi.

Yaani wakati wa tendo la ndoa uume husimama kwa muda mfupi sana kiasi kwamba nikichelewa kuingiza ukeni basi unalegea.
 
Tumia hii mkuu upulizie kichwani mwa uume na umasaji kama dakika tatu slowly.
 

Attachments

  • 1445350742339.jpg
    1445350742339.jpg
    46.1 KB · Views: 1,836
Habari wanajamvi.

Yaani wakati wa tendo la ndoa uume husimama kwa muda mfupi sana kiasi kwamba nikichelewa kuingiza ukeni basi unalegea.

TATIZO LA UUME KUSINYAA


Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja kujigundua huona kama mabadiliko makubwa yaliyotokea ghafla katika viungo vyake vya siri. Mwanamke mwenye tatizo hili pia naye huona kama tatizo geni linaloanza ghafla.

Kwa kawaida hali hii hutokea katika umri mkubwa kwa mwanaume na mwanamke yaani kuanzia umri wa miaka hamsini lakini ikitokea katika umri chini ya miaka hamsini basi ni tatizo. Wapo vijana wenye matatizo haya ambayo vyanzo vyake tutakuja kuviona katika safu hii.

CHANZO CHA TATIZO

Hali ya kusinyaa kwa viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume hutokana na kuwepo kwa msukumo hafifu wa damu sehemu hiyo, maambukizi sehemu za siri ambayo huwa ya muda mrefu hasa kaswende, hitilafu katika misuli ya uke na sehemu za siri za mwanaume inayoathiriwa na kaswende virusi vya HIV, ugonjwa wa kifua kikuu na hata baadhi ya magonjwa sugu ya ngozi. Matatizo mengine yanayochangia hali hii ni ugonjwa wa kisukari.

Matatizo katika mishipa ya damu vilevile huweza kusababishwa na magonjwa ya moyo au mishipa ya damu inayosambaa sehemu hizo. Misuli inaposinyaa kwa mwanamke nayo huweza kusababishwa na magonjwa kama tulivyoona, uke unasinyaa pia huweza kusababishwa na uzazi wa mara kwa mara na karibu kufanya ngono mara kwa mara na wanaume tofauti na hitilafu katika mfumo wa homoni.

Mwanamke anapata tatizo hili la kusinyaa uke endapo pia homoni au kichocheo cha Estrogen' kitakuwa kimepungua mwilini na kufanya mafuta yapungue ukeni. Kwa upande wa mwanaume homoni inayopungua kwa mwanaume ni Testosterone.

DALILI ZA TATIZO

Mwanaume mwenye tatizo hili hasa kijana, ingawa kwa wazee ni hali ya kawaida, kijana huanza kuona mfuko wa pumbu hulegea na kushuka sana, usinyaa na kujikunja kunja, kokwa huinekana ndogo na mishipa mikubwa ya damu huanza kujitokeza na mishipa mbegu toka katika kende huonekana wazi. Uume huwa kama wa mtoto mdogo na mishipa ya damu huchomoza wazi. Nguvu za kiume hupungua sana na endapo ukiweza tendo la ndoa la kwanza unawahi kumaliza na kushindwa kabisa kupata tendo la pili.

Mara kwa mara maandalizi kabla ya tendo la ndoa kwa mwanaume mwenye tatizo hili ni kuchezea sana uume kwa kuurusharusha au kuupiga piga kidogo kidogo ili kuamsha au kuhamasisha msukumo wa damu. Baada ya hapo uume huanza kusimama taratibu na endapo utasimama basi inabidi uwahi tendo na kama utachelewa, basi uume utalala na kushindwa tena kufanya tendo kwa siku hiyo.

Mwanamke yeye daima huwa mkavu na wakati wa tendo hapati hisia zozote hadi tendo linapokwisha na kama mwanaume hana tatizo lolote na mwenye nguvu za kutosha basi mwanamke atapata michubuko na maumivu na kuhisi karaha ya tendo na hawezi kufika kileleni.

UCHUNGUZI

Tatizo hili kama tulivyoona husababishwa na magonjwa mbalimbali, pia yapo matatizo na magonjwa mengine yanyochangia hali hii, magonjwa kama kisukari, endapo ugonjwa utakuwa wa muda mrefu unaweza kuathiri hali hii.

Tabia ya kujichua kwa mwanaume na mwanamke pia huweza kuathiri au kusababisha tatizo hili kama mtu atakuwa amejichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani msukumo wa damu sehemu za viungo vya uzazi utakuwa umeathiriwa.

Viungo vya uzazi vinaweza kupooza kutokana na hitilafu katika mishipa ya fahamu. Mishipa ya fahamu inapoathirika viungo hupooza (paralysis of genitalia) na mwanaume kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa na ukeni hakuna kabisa mawasiliano yanayoleta msisimko.

Vipimo vya damu na mkojo na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa vitafanyika.

MATIBABU NA USHAURI

Tiba hutolewa kadiri daktari atakavyoona inafaa. Matibabu hutolewa katika kliniki za matatizo au magonjwa ya kinamama ambapo na kina baba hutibiwa matatizo haya.

Baada ya uchunguzi tiba itatolea kuona kama hitilafu ni maambukizo au katika mfumo wa homoni. Wahi hospitali kwa uchunguzi na tiba zaidi.
 
Habari wanajamvi,

Ni hivi uume wangu unasimama vizuri na kuwa mgumu kabisa.

Lakini umekua unawahi sana kulegea kiasi kwamba nikichelewa kidogo tu kuingiza ndo basi inabidi nianze tena mwanzo.
 
Hiyo inakutokea ukiwa unafanya mapnz na msichana kwa mara ya kwanza au kila unaposhiriki tendo la ndoa
 
Nakushauri usipite njia za mkato. Tafiti mbalimbali zimeonyesha kwamba ulegelege wa kusimamisha uume ni dalili mojawapo kubwa ya kuwa na magonjwa ya moyo. Ni wakati mzuri kwako kwenda kuchunguza kama moyo wako uko salama. Anzia hapo kwanza na ukiona moyo wako hauna tatizo lolote basi endelea na hayo mengine. Kumbuka pia inaweza kuwa ni stress tu au matatizo mengine ya kisaikolojia. Ukikimbilia kutumia haya madawa basi kumbuka ndo umesarenda na utayahitaji daima dumu.

Finally, kama huko zamani hukuwa na tatizo hili, ni nini kimebadilika katika maisha yako? Umenenepeana? Umebadili mfumo wa maisha? Kupunguza pombe, kufanya mazoezi na kula milo yenye wingi wa matunda bila nyama nyingi inaweza kusaidia pia. Please usikimbilie kufakamia ma viagra au haya madawa mengine.
 
Chamsing kabisa nikufanye vipimo. Ila pia zipo dawa zakuweza kukuponya na ukarud kama zamani.
Ingia Google andika Green World Vigpower utaisoma maelezo yake jinsi inavyofanya kazi
Pia ukiitaka kwa mawlezo ya kiswahili nichek whatsup 0714.912.390 nikutumie
 
Ingia Google andika Green World Vigpower utaisoma maelezo yake jinsi inavyofanya kazi na itakavyo kusaidia pia ukiigaka kwa maelezo ya kiswahili nakutumia kwa whatsup 0714.912.390
 
Tatizo hili liko katika saikolojia yako, tatizo hilo lilipokutokea katika hatua za mwanzo lilikujengea hofu, aibu na kutokujiamini. Hali hiyo imeshakaa na mara unapokwenda kwenye tendo hili the first impression kwako ni kufikiri kufail tendo!


Nielewe, hisia zako za kufikiri "hivi na leo itakuwaje".. Yaani unknown results kwenye tendo hilo huwa inaharibu molari na nguvu zako za kiume. Siamini kama wewe ni mgonjwa, wewe una tatizo la confidence, confidence iliisha baada ya kushindwq kwenye matukio kadhaa ya kimapenzi ualiyo pita huko nyuma.


Unahitahiji kujengwa sana kosaikolojia, tena akujenge mpenzi wako anqyejua tatizo lako. Iwe hivi..ajuwe tatizo lako kuwa "hujiamini, una hofu yq kushindwa tendo, una hofu ya kupata aibu baada ya kushindwa tendo..." Akisha fahamu haya kama matatizo yako yanayokusabqbisha kushindwa tendo, atafanya yafuatayo..


1. Akuthamini sana, akupende na akusifie kwamba we ni mwanaume mzuri, aonyeshe kuridhika na wewe licha ya madhaifu uliyonayo

2. Akuahidi hatakuacha licha ya madhaifu uliyo nayo

3. Akuhakikishie kwamba tatizo lako yeye halimsumbui maana ni tatizo ambalo yeye anaamini litaisha na mapenzi yeu yatapba moto

4. Akiwa anafanya hayo, jenga tabia ya kujiamoni sana na uwe na mpenzi wako karibu sana ili mradi wakati wowote ukipata ashiki upande mlima..

Habari wanajamvi.

Yaani wakati wa tendo la ndoa uume husimama kwa muda mfupi sana kiasi kwamba nikichelewa kuingiza ukeni basi unalegea.
 
pima choo kujua kama una minyoo,amoeba na pima mkojo kujua kama una uti na other infections na pima damu kujua kama una taifod na nk
 
Ni kwel..hta mm nlikuwa nasunbuliwa na hli tatzo ikabd nikapime vipimo vya CEG na nkakuta moyo wngu haupump damu vzur..LVH infection kwa sasa iv naendelea na matibabu na ya moyo kwanza then kma bdo ndo mengne yafuate.
 
Habari wanajamvi,

Ni hivi uume wangu unasimama vizuri na kuwa mgumu kabisa.

Lakini umekua unawahi sana kulegea kiasi kwamba nikichelewa kidogo tu kuingiza ndo basi inabidi nianze tena mwanzo.[/QUOTE

BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI sYA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA!

Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 4 tu ya watu duniani wanafurahia tendo la ndoa ipasavyo wengine huishi kwa shida kabisa bila kushiriki tendo la ndoa ya kushiriki chini ya kiwango.
Mazingira magumu ya kazi, vyakula tunavyokula, hewa tunayo vuta, changamoto za kifamilia yote haya HUPELEKEA WATU KUKOSA SHAUKU YA TENDO LA NDOA, NA USIPO LIWAHI UNAWEZA KUPATA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO.

SASA JIPATIE BIDHAA AMBAYO IMETENGENEZWA KWA MIMEA ASILI AINA KUU TATU NA VIUMBE WA BAHARINI WAJULIKANAO KAMA PIPE FISH IKAWA DAWA MOJA ASILI YENYE VIDONGE 4 TU UTAFURAHIE RADHA YA NDOA YAKO BILA MADHARA.

1. SYNGNATHUS
Hawa ni samaki wajukikanao kama pipe fish kutokana na umbo lao refu hupatikana baharini na upatikanaji wake ni mgumu sana kwani huogelea ndani kwa ndani hivyo kufanya bidhaa hii iqw adimu sana.
Samaki hawa tafiti zinaonesha kuwa zinasafisha figo na kuimarisha kazi ya figo na kukupa uimara wa tendo la ndoa ambao ulikuwa umedhoofika kwa kudhoofika kwa figo.

Hivyo samaki hawa huvuliwa ,husafishwa,hukaushwa na kutengenezwa katika unga kisha huchanganywa na mimea mingine kutengeneza vidonge vya asili kabisa.

2. EPIMEDIUM

Hii ni mimea ambayo ina maajabu yake na imekuwa kama lulu nchini china na maajabu yake ni pale hata mifugo inapotumia mimea hio katika malisho imeonesha kuwa na shauku kubwa ya kufanya tendo la ndoa zizini.
Sasa mimea hii baada ya kuwekwa kwenye TAFITI MAAJABU YAKE YAMEFICHUKA KUWA NA FAIDA KUBWA SANA KATIKA MWILI WA BINADAMU KATIKA MAGONJWA HAYA.

~Inaongeza SHAUKU YA TENDO LA NDOA (LIBIDO)
~INAONGEZA MBEGU ZA KIUME (SPERMS) NA VICHOCHEO VYA KIUME YANI TESTOSTERONE
~INAONGEZA SHAUKU YA TENDO LA NDOA AMBALO UTAFURAHIA TENDO LA NDOA MUDA WOWOTE NA SEHEMU YOYOTE BILA HOFU KABISA.
~INAONGEZA UWEZO WAKO WA KUWEZA KURUDIA TENDO LA NDOA MARA NYINGI UWEZAVYO

MORINDA OFFICINALIS

Hii pia ni mimea asili ambayo imekuwa ni kipaumbele jatika tafiti mbali mbali za mimea asili kwenye kutibu nguvu za kiume.
Mimea hii imeonesha uimara wake kwenye kufanya jazi hizi

~Kutibu kabisa tatizo la kutopata mtoto
~kutibu kabisa matatizo ya uhanisi
~Kutoa mbegu za kiume nyingi kiwango cha kutosha kutungisha mimba.
~Kufika kilele HARAKA kabla ya nwezi wako na kushindwa kuendelea (pre mature ejaculation)

4. BUTEA SUPERBA

Hii pia ni mimea asili ambayo hupatikana sana katika nchi za thailand na china pia india.
Mimea hii imenesha tafiti kuwa inauwezo wa kuzuia PDE5 na kuwengeza kiwango cha damu kinacho kimbia sehemu za siri na kukupa nguvu za kutosha kuendelea kufurahia tendo la ndoa. Kumbuka bidhaa hii inafanya yote haya bila kuathiri mfumo wa fahamu kama bidhaa zingine za kemikali zinavyo athiri wakati zinafanya kazi.

HIVYO MPENDWA MIMEA YOTE HIO IMEHIFADHIWA KATIKA KIDONGE KIMOJA TU KATIKA TECKNOLOJIA YA KISASA.

DOSE: DOSE NI VIDONGE VINNE TU

MATUMIZI: UNAKUNYWA KIDONGE KIMOJA KILA SIKU (500mg) MASAA MATATU BAADA YA CHAKULA CHA USIKU.

Imetolewa na
Khalid Gugu

DAR ES SALAAM PIGA SIMU 0714 206 306

POPOTE ULIPO UTAPATIWA BIDHAA HII RAFIKI WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZO

USISAHAU KULIKE PAGE YANGU AFYA YA UZAZI NA USHAURI facebook page
 
Back
Top Bottom