ESPIRIT
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 665
- 524
Nina umri wa 28 sasa,nina mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatizo langu ni kwamba hisia zangu za kimapenzi zipo karibu sana. Nikiwaza mapenzi kidogo tu uume unasimama na kutuliza inakuwa kazi.
Mda mwingine nikiwa garini hiyo hali ikitokea napitiliza kituo, mpaka uume ulale.
Nakosa raha mda mwingine. Nisaidieni nifanyeje hali ipungue coz naweza kuja kuumbuka siku moja? Je,kiafya tatizo liko wapi?
Mungu awabariki kwa kweli.