Uume wangu jamani, nisaidieni

Uume wangu jamani, nisaidieni

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Nina umri wa 28 sasa,nina mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatizo langu ni kwamba hisia zangu za kimapenzi zipo karibu sana. Nikiwaza mapenzi kidogo tu uume unasimama na kutuliza inakuwa kazi.

Mda mwingine nikiwa garini hiyo hali ikitokea napitiliza kituo, mpaka uume ulale.

Nakosa raha mda mwingine. Nisaidieni nifanyeje hali ipungue coz naweza kuja kuumbuka siku moja? Je,kiafya tatizo liko wapi?

Mungu awabariki kwa kweli.
 
kijana huo ndo urijali wenyewe,, ila mwambie huyo mchumba akupunguzie ukame kwani yawezekana umeweka uvumilivu lakini yeye anasuuza mbaya
 
Nina umri wa 28 sasa,nina mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatzo langu ni kwamba hisia zangu za kimapenz zipo karibu sana. Nikiwaza mapenz kdg tu uume unasimama,na kutuliza inakuwa kaz. Mda mwngne nikiwa garin hyo hal ikitokea napitiliza kituo,mpaka uume ulale. Nakosa raha mda mwngne. Nisaidien nifanyeje hali ipungue coz naweza kuja kuumbuka cku moja? Je,kiafya tatzo liko wapi? Mungu awabariki kwa kwel.

Mara ya mwisho kukutana kimwili na mwanamke ilikuwa lini? Labda nianzie hapo kwanza.
 
Nina umri wa 28 sasa,nina mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatzo langu ni kwamba hisia zangu za kimapenz zipo karibu sana. Nikiwaza mapenz kdg tu uume unasimama,na kutuliza inakuwa kaz. Mda mwngne nikiwa garin hyo hal ikitokea napitiliza kituo,mpaka uume ulale. Nakosa raha mda mwngne. Nisaidien nifanyeje hali ipungue coz naweza kuja kuumbuka cku moja? Je,kiafya tatzo liko wapi? Mungu awabariki kwa kwel.

Hizo ni GENYE tu,hkun ch zaidi hapo.
 
simple usiwaze mapenzi acha kabisa halaf mpenz wako wa nini mtumie ipasavyo
 
Nina umri wa 28 sasa, nina mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatzo langu ni kwamba hisia zangu za kimapenz zipo karibu sana. Nikiwaza mapenz kdg tu uume unasimama, na kutuliza inakuwa kaz.
Mda mwngne nikiwa garin hyo hal ikitokea napitiliza kituo, mpaka uume ulale. Nakosa raha mda mwngne. Nisaidien nifanyeje hali ipungue coz naweza kuja kuumbuka cku moja? Je,kiafya tatzo liko wapi?
Mungu awabariki kwa kwel.

hapa hukupata msaada ...???
....mbona kuna ushauri mzuri tu ulipewa??..take care..
[h=3]Jamani huu ni ugonjwa ama ni nini?[/h] Started by ESPIRIT, 10th August 2014 09:46

Mimi nina umri wa miaka 27 sijaoa, huwa nina hisia za haraka sana.

Nikigusana na jinsia ya kike huwa uume husimama ,hata nikiwa naongea na rafik yangu wa kike huwa uume husimama.

Nakumbuka siku 1 natoka kariakoo ili nishuke magomeni usalama,nikashndwa kushuka kwa kuwa uume ulikuwa umesimama,nilikuwa nimekaa na mdada.

Nikaenda kushuka manzese darajani. Huwa mda mwingne nakosa raha. Ndg wana JF, huu ni ugonjwa au nguvu za kiume zimenizidi?. Naombeni ushauri wenu kwa kweli ili nisije aibika .

Natangulia kutoa shukrani,kwa mtakaonipa ushaur nini cha kufanya. MUNGU awalinde.
 
Kusema kweli yapata kama miez 2 ilopita
 
Kwa nin uwaze mapenz? Huna kazi ya kufanya?
 
Acha ujinga! Ndio uanaume huo! Kuna watu wanautafuta usiku na mchana! Siku nyingine ukisimama upe kiti ukae:becky🙁joke)
 
Nina umri wa 28 sasa,nina mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatizo langu ni kwamba hisia zangu za kimapenzi zipo karibu sana. Nikiwaza mapenzi kidogo tu uume unasimama na kutuliza inakuwa kazi.

Mda mwingine nikiwa garini hiyo hali ikitokea napitiliza kituo, mpaka uume ulale.

Nakosa raha mda mwingine. Nisaidieni nifanyeje hali ipungue coz naweza kuja kuumbuka siku moja? Je,kiafya tatizo liko wapi?

Mungu awabariki kwa kweli.
....Kuna demu moja naye hapa kwetu ana hali hiyo mpaka anajaribu kukamata watu kwa nguvu,yafaa uwe naye huyo
 
Ikikutokea tena kwenye gari usipitilize kituo km umekaa karibu na binti omba umpakate
 
Nina umri wa 28 sasa,nina
mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatizo langu ni kwamba hisia zangu za
kimapenzi zipo karibu sana. Nikiwaza mapenzi kidogo tu uume unasimama na
kutuliza inakuwa kazi.

Mda mwingine nikiwa garini hiyo hali ikitokea napitiliza kituo, mpaka
uume ulale.

Nakosa raha mda mwingine. Nisaidieni nifanyeje hali ipungue coz naweza
kuja kuumbuka siku moja? Je,kiafya tatizo liko wapi?

Mungu awabariki kwa kweli.

promo at work tumeskia ongera kuwa na nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom