Uume wangu jamani, nisaidieni

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Nina umri wa 28 sasa,nina mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatizo langu ni kwamba hisia zangu za kimapenzi zipo karibu sana. Nikiwaza mapenzi kidogo tu uume unasimama na kutuliza inakuwa kazi.

Mda mwingine nikiwa garini hiyo hali ikitokea napitiliza kituo, mpaka uume ulale.

Nakosa raha mda mwingine. Nisaidieni nifanyeje hali ipungue coz naweza kuja kuumbuka siku moja? Je,kiafya tatizo liko wapi?

Mungu awabariki kwa kweli.
 
kijana huo ndo urijali wenyewe,, ila mwambie huyo mchumba akupunguzie ukame kwani yawezekana umeweka uvumilivu lakini yeye anasuuza mbaya
 

Mara ya mwisho kukutana kimwili na mwanamke ilikuwa lini? Labda nianzie hapo kwanza.
 

Hizo ni GENYE tu,hkun ch zaidi hapo.
 
simple usiwaze mapenzi acha kabisa halaf mpenz wako wa nini mtumie ipasavyo
 

hapa hukupata msaada ...???
....mbona kuna ushauri mzuri tu ulipewa??..take care..
[h=3]Jamani huu ni ugonjwa ama ni nini?[/h] Started by ESPIRIT, 10th August 2014 09:46

 
Kusema kweli yapata kama miez 2 ilopita
 
Kwa nin uwaze mapenz? Huna kazi ya kufanya?
 
Acha ujinga! Ndio uanaume huo! Kuna watu wanautafuta usiku na mchana! Siku nyingine ukisimama upe kiti ukae:becky🙁joke)
 
....Kuna demu moja naye hapa kwetu ana hali hiyo mpaka anajaribu kukamata watu kwa nguvu,yafaa uwe naye huyo
 
Ikikutokea tena kwenye gari usipitilize kituo km umekaa karibu na binti omba umpakate
 

promo at work tumeskia ongera kuwa na nguvu za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…