Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
oh my! hat-off bin salute!na za wazungu je?hahaha
ha ha ha unantafutia maneno weye!!!!!!!
Hadi baniani ndani...!!!!!!!!!!!!!
...........pamoja na hayo, ila afanye namna na kenyewe angalau kawe kakubwa!!!!!!
Mimi ni kijana na tatizo langu ni kwamba mboga yangu ni ndogo sana, sasa mara nyingi kwa kweli inani kwaza na muda mwingi nateseka sana kwa mawazo. Mademu wengi waminiacha
wengine wamekuwa sio waaminifu kwangu kitu kinachonifanya nihisi kuwa ni udogo wa mboga yangu.
Ukiniona ni bonge la handsome na kina dada wenyewe wana jileta lakini wengi na wachunia sana kwakujifanya kuwa mimi ni bonge la Mlokole flani kumbe uume wangu mdogo hata mwanamke ukimkubalia utamtia siku ya kwanza ya pili ataanza kulalamika kwamba hasikii kitu.
Sasa utakuta mzee mzima na ji over work ili shughuli ifane lakini wapi jasho linatoka, basi ni matatizo na maumivu ya roho. Ukiachana nao wanaanza kutangaza basi balaa mtindo mmoja hebu ni saidie dada yangu.
angalau size gani sasa?

Kama pilipili ni dawa basi wahindi wangekuwa nazo kama za punda.....
lakini mbona hata nao ni viduchu.
?????? Kumbe !!!!P. Didy ( Sean Combs ) ana kibamia chenye urefu wa nchi nne ( hapo kimekasirika ) na chembamba..( Accoring to Naomi Campbell ), The same to Snoop Dogg ( aCCORDING TO LIL KIM ) but wanafurahia maisha yao. Cha muhimu ni kuwa na uume wenye nguvu za kutosha..
mmh; ukiona size ndogo tumia akili zaidi.
Afu mwili wako wote haujatengenezwa kwa ub.oo peke yake, tumia sehemu zingine za mwili kuwaridhiwa wapenzio.
Waswahili tunasema 'punda afe lakini mzigo ufike'