Uume wangu mdogo nazuga Mlokole

Uume wangu mdogo nazuga Mlokole

Mimi ni kijana na tatizo langu ni kwamba mboga yangu ni ndogo sana, sasa mara nyingi kwa kweli inani kwaza na muda mwingi nateseka sana kwa mawazo. Mademu wengi waminiacha
wengine wamekuwa sio waaminifu kwangu kitu kinachonifanya nihisi kuwa ni udogo wa mboga yangu.

Ukiniona ni bonge la handsome na kina dada wenyewe wana jileta lakini wengi na wachunia sana kwakujifanya kuwa mimi ni bonge la Mlokole flani kumbe uume wangu mdogo hata mwanamke ukimkubalia utamtia siku ya kwanza ya pili ataanza kulalamika kwamba hasikii kitu.

Sasa utakuta mzee mzima na ji over work ili shughuli ifane lakini wapi jasho linatoka, basi ni matatizo na maumivu ya roho. Ukiachana nao wanaanza kutangaza basi balaa mtindo mmoja hebu ni saidie dada yangu.

P. Didy ( Sean Combs ) ana kibamia chenye urefu wa nchi nne ( hapo kimekasirika ) na chembamba..( Accoring to Naomi Campbell ), The same to Snoop Dogg ( aCCORDING TO LIL KIM ) but wanafurahia maisha yao. Cha muhimu ni kuwa na uume wenye nguvu za kutosha..
 
usijali master, mbona wako wengi tu wenye 'ugali mdogo'?? a.k.a uke mdogo! go and look for them, raha ya kiatu kitoshe mguuni,kikibana maumivu na kikipwaya pia ni karaha!
 
Acha uzembe tumia bamia yako vizuri na pia hata ukiwa na pipi ya kifua unaweza kuitumia vizuri ukitulia. Ukishindwa kabisa muone Lizy....

Mkuu hebu fafanua kidogo khs pipi ya kifua na yale mambo yetu.
 
Last edited by a moderator:
mmmh uliwaona wapi wahindi kuwa wanaviduchu mkuu...unachopaswa ni kukamua ndimu uchanganye chumvi na pilipili kwa wingi halafu unapaka kwenye kichwa cha uboo kla unapoenda kulala ,matokeo ni ndani ya siku 3 tu...jaribu uone maajabu ya pilipili...
Kama pilipili ni dawa basi wahindi wangekuwa nazo kama za punda.....
lakini mbona hata nao ni viduchu.
 
P. Didy ( Sean Combs ) ana kibamia chenye urefu wa nchi nne ( hapo kimekasirika ) na chembamba..( Accoring to Naomi Campbell ), The same to Snoop Dogg ( aCCORDING TO LIL KIM ) but wanafurahia maisha yao. Cha muhimu ni kuwa na uume wenye nguvu za kutosha..
?????? Kumbe !!!!
 
Ungesema huo urefu tungepata picha kamili. Hata hivyo kuliwa na uzi hapa unaosema twanga pilipili na chumvi, kamulia limao kwenye huo mchanganyiko. Jipake kwenye uume wakati wa kulala. Ndani ya siku saba utaona matokeo
 
Mleta mada fahamu kwamba uume una sort of misuli ambayo hutanuka na kuvutika kama ilivyo misuli ya mikono miguu etc. Ukifanyia mazoezi mikono yako utaona misuli inakuwa kibaunsa. Sasa unasubiri nini kufanyia kibamia chako maoezi kifutuke au kirefuke? Ni maoezi tu jamaa angu kila siku asubuhi au ukipata nafasi. Labda hujui au kama unajua ni uvivu wa kufanya tizi ya bamia iwe dushelele la nguvu. |Wengine wakasema weka pilipili , limau na chumvi .. hah haaaaa. Kama hujaomba jirani aje kukusaidia kuzima huo moto. Wee fanya imesimama nusu then pull , pull and pull every side 200 times everyday, kama haijawa refu kaa nyoka. Fikiri Mangi, acha uvivu eti. Warning . Do not end up in Puli maana utakuwa umeharibu zoezi zima la siku hiyo.
 
Kilibolo..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom