Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Mchanganyiko wa pilipili chunvi limao, una effect gani?Hata kama, ngoja nikusaidie.
>hiyo mboga imeundwa na misuli kama misuli mingne mf:ya mikono na mapaja.
>kinachoitajika ni mazoez{phyisical exercise} yakufanya misuli misuli ya mboga ikue na kuimalika kama mtu akuzavyo misuli ya kifua,mikono,mapaja,n.k.
>Unaweza buni mwenyewe mazoez hayo.
Ama uni pm
>siamini ktk dawa za kienyeji kwan nying huwa na side effect nying.