Umeshakutana kimwili na wanawake wangapi?
Ngoja nikueleze siri ndugu mleta mada, kuna wakati mwanaume unaweza ukahisi una "mkuluju" mdogo kumbe sio kweli ha hizi hapa chini ni sababu ambazo hupelekea hisia za namna hiyo.
1. Aina ya wanawake ukutanao
Hata wanawake pia mauongo yao ya chini hutofautiana. Wapo ambao ni samaki aina ya dagaa au vibua tu ndio wawezao kupiga mbizi, lakini wengine huko bwawani wapigao mbizi ni papa, nyangumi na jamii nyingine kubwa kubwa.
Ukiacha hilo pia wanawake pia hutofautiana utundu wawapo kwenye majambozi. Kungonoka ni tendo la kushirikiana baina ya KE na ME, sasa huenda wewe unakutana na makungwi wa mtanange wa kikubwa.
2. Huenda hauna ujuzi na hii mambo ya kitandani. Hivi si unajua kuwa kisu mpe Mmaasai, ukimpa Mzaramo ataishia kumenyea ngogwe tu. Haijalishi ududu wako una urefu au wembamba gani, je huwa unagusa yale maeneo muhimu ya uke?
Je, namna yako ya kuingiza na kutoa unaifanya kwa pace ipi? n.k.
3. Kujilinganisha uwezo ulionao na watu wengine(marafiki) au hata wale performers wa kwenye picha za utupu. Kumbuka tu kuwa kwa habari ya mambo ya chumbani, unapaswa kujifunza taratibu ipo siku utakuwa levels zetu.
Nitarudi nikipata wasaa tena, tafadhali usiniPM mkuu na wengineo maana sitaweza kujibu, swali lolote naomba ulielekeze hapa hapa jukwaani.