Uume wangu ni mdogo, nifanyeje kuuongeza?


"Asiyesikia la mkuu huvunjika guu"! unamjua ni nani aliyekupa huo ushauri? kama yeye ni mtaalam unataka hadi akwambie kuwa yeye ni mtaalam ili ujue? soma comments halafu changanya na zako.
 

Unapatikana wapi mkuu?
 

Nilitaka kufahamishwa kifaa ama namna hao wataalam wanaweza kuuona UUME WA MTU KUTOKA NDANI YA TUMBO LAKE kama ulivyoelezea hapo juu.

Lakini naona umetiririka unachokijua badala ya nilichouliza.

Hiyo hotuba yote is just an inconsequential writing.

uwell kumbe unataka kujua device sio??

haya wewe unajua uume wa mtu unaanzia wapi?? ama mfumo wa uzazi wa mwanaume unaanzia wapi??
ukiweza kujibu utajua kwanini nilisema wataalam huuangalia uume toka ndani ya tumbo
 
]Ni nchi 4

watu wengi huandika vitu hata hawavijui unajua inch 4 kuwa ni sawa na cm 10? au unataka umtoe kizazi mtoto wa wenzio?[/QUOTE]
nilichogundua watu wengi hasa kizazi cha sasa metric measurements ni tatizo wengi wamezoea cm ila ukiwapeleka kwenye inch, futi utaambulia maumivu.

4inches= 12cm sasa hapo sijui anataka wa punda
 

Ukiona mtu mzima analia mbele za watu?......mke wangu anasema haimtoshi.
 
Huyu hajui hata hizo nchi nne, hebu funguka nchi nne au sentimiter nne
 
Inakutosha bhana magogo siyo dili,kumbuka kuwa kuna baadhi ya wanawake hawaridhiki hata ungekuwa na mbuyu, we katumie vizuri kama kweli anakupenda hawez toka nje eti kisa unakifilimbi kidogo, je vp ukubwa wa vargina yake ? Anampango wowote wa kuipunguza au wewe ndiye unaangaika tuu.
 
"Asiyesikia la mkuu huvunjika guu"! unamjua ni nani aliyekupa huo ushauri? kama yeye ni mtaalam unataka hadi akwambie kuwa yeye ni mtaalam ili ujue? soma comments halafu changanya na zako.


Simjui na wala sihitaji kumjua,

Utaalam wa mwanaJF yeyote utaufahamu kupitia comments/posts zake sio mpaka utambulishwe unless uwe Zezeta.

Uwezekano wa kuuona uume wa mtu kutoka ndani ya tumbo lake hata mwanafunzi wa vidudu lazima atahitaji ufafanuzi.

NB:Suala la Mimi kuvunjika mguu wala usihofu maana Nina BIMA YA AFYA.
 
Wanajamvi naomba msaada ni dawa gan nitumie ili CHULULU iongezeke ukubwa?

Mwenzenu ndoa inayumba msaada. Please.
Mimi ninayo Krimu chupa 3 ukitumia kwa muda wa miezi 6 chilulu yako itaongezeka inch 4 ukihitaji hii hapa Kwa wale wanaotaka uume wao uwe mrefu na mkubwa dawa imeshapatikana krimu

PENIS CREAM THICKNESSER Help thickening Jellia XL Penis Enlargement Cream 100 ml

Habari zenu wakuu? Dawa ya kurefusha Uume na kufanya mboo iwe nene nimeipata inauzwa dollar 300 na gharama za

utumaji hizo dollar 300 itabidi ulipe Dollar jumla dollar 329 ni Krimu chupa 3 unakuwa unafanya masaji kila siku asubuhi

kwa muda dakika 10 na usiku dakika 10 kwa muda wa miezi 6 basi mboo yako itakuwa ndefu na pia itakuwa ni nene

angalia picha ya dawa hiyo hapo juu. Ukihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie Barua ya Pepe Email yangu hii hapa

fewgoodman@hotmail.com. Haya tena kwa wale wanaohitaji Dushelele liwe refu na kubwa kazi kwenu changamkieni hiyo dawa.Mkuu.@mc night Unaweza pia kunitembelea blog yangu bonyeza hapa
http://mzizi-mkavu.blogspot.com.tr/
 
watu wengi huandika vitu hata hawavijui unajua inch 4 kuwa ni sawa na cm 10? au unataka umtoe kizazi mtoto wa wenzio?
nilichogundua watu wengi hasa kizazi cha sasa metric measurements ni tatizo wengi wamezoea cm ila ukiwapeleka kwenye inch, futi utaambulia maumivu.

4inches= 12cm sasa hapo sijui anataka wa punda[/QUOTE]

Kazi ipo hata kuchunguza kidogo hiyo inch 4 ina urefu gani hakuna, akiona wengine wameandika wana inch 10 anaamini.
 

nakijua kitu cha kTurky hiko ....
Side effect Hamna?
 
Iga ufe. Za kuambiwa mix na zako.. Mungu hakosolewi yan kuongeza uume wako ni sawa na kumwambia mungu kwa kinywa chako 'we mungu vip umenpa kadude kaduchu wakat me nataka dubwana aaargh!' tujfunze kushukuru kwa yote ungezaliwa shoga je?
 
unaeza kua na chululu kubwa mpaka lkn mzigo usiupeleke...of coz ina point zake...lkn focus zaidi kwenye confidence na mconvince asikazanie dudu kubwa... we peleka moto mpaka ueke heshima...lkn ukitanguliza woga na waswas ni mashetani....sema audhubillah mina shaytan rajim... alaf anza foreplay then piga mtoto chululu .... ...labda kama uyo sio mkeo wa haqqi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…