Health service
Member
- Mar 8, 2014
- 60
- 11
Nilitaka kufahamishwa kifaa ama namna hao wataalam wanaweza kuuona UUME WA MTU KUTOKA NDANI YA TUMBO LAKE kama ulivyoelezea hapo juu.
Lakini naona umetiririka unachokijua badala ya nilichouliza.
Hiyo hotuba yote is just an inconsequential writing.
"Asiyesikia la mkuu huvunjika guu"! unamjua ni nani aliyekupa huo ushauri? kama yeye ni mtaalam unataka hadi akwambie kuwa yeye ni mtaalam ili ujue? soma comments halafu changanya na zako.