Uume wangu ni mdogo, nifanyeje kuuongeza?

Uume wangu ni mdogo, nifanyeje kuuongeza?

kuna jamaa anajiita SHADRACK LUTOBECK huwa anajitangaza hapa kuwa anaweza hayo mambo
 
Last edited by a moderator:
chukua pilipil changanya na limao pakaa hapo kwenye kichwa cha mboo.baada ya sku saba njoo ulete feedback hapa
 
polesana mkuu kwa tatzo hilo ulilonaro,Ni dawa nzurisana ya asili inayorefusha/kuza na kunenepesha kwa mda wa wiki bili tu unakuwa ukosafi kabisa.Kwa mengi zaid ntafte 0759217720.
 
polesana mkuu kwa tatzo hilo ulilonaro,Ni dawa nzurisana ya asili inayorefusha/kuza na kunenepesha kwa mda wa wiki bili tu unakuwa ukosafi kabisa.Kwa mengi zaid ntafte 0759217720.

asante mkuu ntakutafuta

ushauri wangu ni huu usijaribu kutumia dawa ili kukuza uume utakuja juta milele..........

jifunze kuutumia huo huo ulopewa katika uumbaji ili kumridhisha mkeo vinginevyo utakuja hapa mkuomba msaada wa tataizo jingijne kubwa zaid.

wee unauona uume nje lkn wataalam wanauona uume toka ndani ya tumbo lako
 
me nikajua jina "chululuu" linatumika kwa vikojoleo vya watoto tu, au kakiwa kadogo ndio kanaitwa hivyo?
 

Hao watalaam wanatumia kifaa gani labda?

kifaa gani kama nini na chanini??

kila body system ina mechanism yake ambayo ndivyo ilivyo toka uumbaji, mbaya zaid ni kwamba system moja hufanya kazi sawa sawa kwa kila mwili wa binadamu unless kuwe na ugonjwa fulan ama ulemavu ndio system inaweza isiwe inafanyan kazi sawa sawa....

sasa uume wa mwanaume umeumbwa ukiwa na akzi kuu mbili nazo ni kupitisha mkojo na kupitisha manii wakati wa kujamiiana, wala sio kwamba uume ukiwa mkubwa ndio uanaoweza kuwa na manii na ulio mdogo hauna manii la hasha.

uume mdogo unaweza kujamiiana kama ulivyo uume mkubwa na zote hupitisha manii kama kawaida. na mara nyingi sana unaweza kukuta uume ni mdogo lkn unatoa manii nyingi zanye well matured sperms kuliko hata iyo miguu ya kuku ambayo muda mwingine hutema mapovu tuu na mbegu hakuna...

kama anafikiri ni mdogo ila kwa 4inch ni wazi kwamba anamwaga manii ndni ya eneo husika kwa ajili ya kummimba mkewe. hayo ya mguu wa kuku anayotaka labda kwajaili ya kuchezea porn lkn kama ni kwaajili ya mkewe ajifunze kuutumia vizuri ili uweze kumpa raha mkewe.

BTW vidole vyake anafanyia kazi gani?? avitumie vimsaidie kumfikisha mkewe kama anaona uume wake hauwez lkn naamini akiutumia ipasavyo huo uume bado sio ishu ya kuanzishia uzi
 
Haya ndo matatizo ya kuoa mtu ambaye hamfanani naye,ongeza tu maujanja kanatosha.

"Nitakutafutia msaidizi wa kufanana nawe"
 
Tumia "Mcongoman" ambayo si mchezo, noma. Inafanyaje kazi: unapaka kwenye kichwa cha uume basi, wakati wa kujamiiana kitu kinatanuka taratibu mpaka size sawa na uke , ukipiga bao tu kitu kinarudi tena katika hali yake ileile ya awali. Hiyo poa sana nitafute nikupatie.
 
wataalam wanauona uume toka ndani ya tumbo lako

kifaa gani kama nini na chanini??


Nilitaka kufahamishwa kifaa ama namna hao wataalam wanaweza kuuona UUME WA MTU KUTOKA NDANI YA TUMBO LAKE kama ulivyoelezea hapo juu.

Lakini naona umetiririka unachokijua badala ya nilichouliza.

Hiyo hotuba yote is just an inconsequential writing.
 
Wanajamvi naomba msaada ni dawa gan nitumie ili CHULULU iongezeke ukubwa?

Mwenzenu ndoa inayumba msaada. Please.


Hivi kwa nini wanaume tunakasumba ya kujishitukia maumbile yetu?

Kuyumba kwa ndoa kunachangiwa na mambo mengi labda awe amekuambia yeye kwa kauli yake kuwa hicho ndo chanzo.

Hata hivyo,what if yeye ndo ana K oversize?

Rangi ya paka sio issue,mradi akamate panya tu.
 
Back
Top Bottom