Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clonic ni kitu gani hicho ? Anyway mnapoleta matangazo yenu humu muwe mnalipia kidogo ili JF iendelee kuwepo hewani😃Ndugu zangu habarini, nilikuja hapa siku za nyuma nikiwa na tatizo la kutosimamisha.
Namshukuru Mungu sana nimepona, nawaombea pia wale ambao wanasumbuliwa na tatizo kama hili Mwenyezi Mungu awape wepesi wapone.
Binafsi nimepitia uzoefu mkubwa sana kipindi hiki Cha mpito, ila nawashukru Wana JF wote walionyesha Nia ya kunisaidia na wengine walinisaidia kadri ya uwezo wao. Lakini wapo pia ambao walikuwa kimaslahi zaidi kupitia changamoto yangu.
Nimetumia dawa nyingi sana nashindwa kuelewa hata niseme nimepona kwa dawa ipi, ila yote kwa yote Mungu ashukuriwe mno.
Nilienda kwa baba mmoja yeye anadili na magonjwa ya wanaume kushindwa kusimamisha tu, ni tabibu Toka 1990's nilikuta vijana wengi wakipata Tiba hapo nyumbani kwake, ila yeye sio Mganga ni mtu aliyeachiwa dawa na baba yake.
Nilichogundua vijana wengi kwasasa wanasumbuliwa na tatizo hili, alinipa huduma ila Mimi sikutaka kukaa hapo kama wengine maana Mimi tatizo langu halikuwa clonic kiasi Cha kuishi pale. Nimetumia dawa nyingi nashindwa kujua hata nimepona kwa dawa ipi.
Ila namshukuru Mungu sana nimepona, Mungu aendelee kubariki hili jukwaa la JF.
Clonic ndio hiyo iliyo ulaza!Clonic ni kitu gani hicho ? Anyway mnapoleta matangazo yenu humu muwe mnalipia kidogo ili JF iendelee kuwepo hewani😃
Siwezi kusema uongo kwenye afya ya mtu, Mimi mwenyewe nilikuwa mgonjwa kwahiyo najua uchungu wa hili tatizo.Clonic ni kitu gani hicho ? Anyway mnapoleta matangazo yenu humu muwe mnalipia kidogo ili JF iendelee kuwepo hewani[emoji2]
Tafuteni hela vijana hakuna Ugonjwa wa Nguvu za Kiume.Ndugu zangu habarini, nilikuja hapa siku za nyuma nikiwa na tatizo la kutosimamisha.
Namshukuru Mungu sana nimepona, nawaombea pia wale ambao wanasumbuliwa na tatizo kama hili Mwenyezi Mungu awape wepesi wapone.
Binafsi nimepitia uzoefu mkubwa sana kipindi hiki Cha mpito, ila nawashukru Wana JF wote walionyesha Nia ya kunisaidia na wengine walinisaidia kadri ya uwezo wao. Lakini wapo pia ambao walikuwa kimaslahi zaidi kupitia changamoto yangu.
Nimetumia dawa nyingi sana nashindwa kuelewa hata niseme nimepona kwa dawa ipi, ila yote kwa yote Mungu ashukuriwe mno.
Nilienda kwa baba mmoja yeye anadili na magonjwa ya wanaume kushindwa kusimamisha tu, ni tabibu Toka 1990's nilikuta vijana wengi wakipata Tiba hapo nyumbani kwake, ila yeye sio Mganga ni mtu aliyeachiwa dawa na baba yake.
Nilichogundua vijana wengi kwasasa wanasumbuliwa na tatizo hili, alinipa huduma ila Mimi sikutaka kukaa hapo kama wengine maana Mimi tatizo langu halikuwa clonic kiasi Cha kuishi pale. Nimetumia dawa nyingi nashindwa kujua hata nimepona kwa dawa ipi.
Ila namshukuru Mungu sana nimepona, Mungu aendelee kubariki hili jukwaa la JF.
samahani mkuu, wewe ni ME au KE?weeweweee usirudie tena walioulazaa wamohumuhumu usijiachie sana
...LIPIA TANGAZO...!Ndugu zangu habarini, nilikuja hapa siku za nyuma nikiwa na tatizo la kutosimamisha.
Namshukuru Mungu sana nimepona, nawaombea pia wale ambao wanasumbuliwa na tatizo kama hili Mwenyezi Mungu awape wepesi wapone.
Binafsi nimepitia uzoefu mkubwa sana kipindi hiki Cha mpito, ila nawashukru Wana JF wote walionyesha Nia ya kunisaidia na wengine walinisaidia kadri ya uwezo wao. Lakini wapo pia ambao walikuwa kimaslahi zaidi kupitia changamoto yangu.
Nimetumia dawa nyingi sana nashindwa kuelewa hata niseme nimepona kwa dawa ipi, ila yote kwa yote Mungu ashukuriwe mno.
Nilienda kwa baba mmoja yeye anadili na magonjwa ya wanaume kushindwa kusimamisha tu, ni tabibu Toka 1990's nilikuta vijana wengi wakipata Tiba hapo nyumbani kwake, ila yeye sio Mganga ni mtu aliyeachiwa dawa na baba yake.
Nilichogundua vijana wengi kwasasa wanasumbuliwa na tatizo hili, alinipa huduma ila Mimi sikutaka kukaa hapo kama wengine maana Mimi tatizo langu halikuwa clonic kiasi Cha kuishi pale. Nimetumia dawa nyingi nashindwa kujua hata nimepona kwa dawa ipi.
Ila namshukuru Mungu sana nimepona, Mungu aendelee kubariki hili jukwaa la JF.
Si juzi tu ulisema umepona tatizo la K kuwa kavu?Ndugu zangu habarini, nilikuja hapa siku za nyuma nikiwa na tatizo la kutosimamisha.
Namshukuru Mungu sana nimepona, nawaombea pia wale ambao wanasumbuliwa na tatizo kama hili Mwenyezi Mungu awape wepesi wapone.
Binafsi nimepitia uzoefu mkubwa sana kipindi hiki Cha mpito, ila nawashukru Wana JF wote walionyesha Nia ya kunisaidia na wengine walinisaidia kadri ya uwezo wao. Lakini wapo pia ambao walikuwa kimaslahi zaidi kupitia changamoto yangu.
Nimetumia dawa nyingi sana nashindwa kuelewa hata niseme nimepona kwa dawa ipi, ila yote kwa yote Mungu ashukuriwe mno.
Nilienda kwa baba mmoja yeye anadili na magonjwa ya wanaume kushindwa kusimamisha tu, ni tabibu Toka 1990's nilikuta vijana wengi wakipata Tiba hapo nyumbani kwake, ila yeye sio Mganga ni mtu aliyeachiwa dawa na baba yake.
Nilichogundua vijana wengi kwasasa wanasumbuliwa na tatizo hili, alinipa huduma ila Mimi sikutaka kukaa hapo kama wengine maana Mimi tatizo langu halikuwa clonic kiasi Cha kuishi pale. Nimetumia dawa nyingi nashindwa kujua hata nimepona kwa dawa ipi.
Ila namshukuru Mungu sana nimepona, Mungu aendelee kubariki hili jukwaa la JF.
Umeufanyia wapi majaribio kama unafanya kazi vizuri?