Uume wangu ulikuwa hausimami nimepona,Asante Mungu

Hili tangazo lako limekaa kimkakati sana komredi!,
 
Kwenye maisha ogopa sana kugeuza shida za watu kwa njia ya utapeli Ili ujiingizie kipato. Kamwe siwezi kufanya huo upuuzi maishani mwangu.
 
Hili tangazo limejirudia limeshawahi kupostiwa kwa staili hii hii
 
Wanaume tujitahidi kutenga muda wa mazoezi ata dakika 30 kwa siku, kwa wiki fanya mara 3-4 inatosha.

Hususa kengel exercises, deadlift, & Legs workouts.

Ukifanya hivyo hautakuwa na shida kama hizo ata kidogo.
msaada wa picha ya jinsi ya kupiga hayo mazoezi mkuu ila ushauri wako mzuri sanaa
 
Hongera kwa kufanikiwa kuisimamisha chululuu yako kwa mara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…