Uume wangu umeshindwa kusimama

Uume wangu umeshindwa kusimama

james2018

New Member
Joined
Nov 4, 2018
Posts
2
Reaction score
7
Naitwa James nimeoa na nina watoto wa4, pamoja na kua nimeoa ila nje nina mchepuko

Nilipokua na huu mchepuko kwa mara ya kwanza kufanya nae mapenzi nilipiga show nzuri tu bila tatizo lolote siku nyingine Nilipo taka kufanya nae mapenzi kwa mara ya pili uume wangu ulisimama kabla ya tendo baadae ukanywea na nikashindwa kusimamisha tena na kushindwa kufanya tendo nikajua ni hali tu ya kawaida na yeye akanielewa

Kwa mara ya tatu nimekutana nae tena nikafanikiwa kusimamisha uume na tu Kashiriki tendo vizuri tu

Kwa mara ya nne uume ulisimama ghafla ukanywea tena nikashindwa tena kufanya tendo tukaondoka lodge

Kwa mara ya tano pia Hali imejitokeza hivi hivi uume unasimama baadae unanywea kabla ya tendo.

NAHITAJI MSAADA WENU WAKUU JUU YA TATIZO HILI, HALI HII INANIFANYA NIOGOPE HATA KUMUOMBA TENA GAME. AMEKUA AKINIOMBA TUFANYE NAE NIMEKUA NAMKWEPA KWEPA SIJUI TATIZO NINI

Naomba mnisaidie. Uume wangu unashindwa kusimama. NISAIDIENI TAFADHALI
 
Pole sana mkuu tuanzie hapa.... Hugo mchepuko ameolewa? Pili mke wako ni mtu wa wapi?
 
Achaaa zinaa baki njia kuu, kwani mkeo si yupo?. Japo ni unateseka tu kisaikolojia kwasababu tu ni mchepuko.
Vipi kwa mkeo unaliona hilo tatizo?
 
Mara ya kwanza show ilienda poa

Mara ya pili machine ikagoma dinda

Mara ya tatu ikakubali kudinda

Haha sasa mkuu uoni namba shufwa ndio machine inagoma dinda yani 2,4,6,8,10......
Ila namba 1,3,5... Inafanya kazi jiongeze
 
Uume wako unajua huyo sio malkia halisi ndio maana hautaki kusimama na kupiga saluti kwa mheshimiwa.😆😆

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
waheshimu watoto wako kama umeshindwa kumuheshimu mkeo..
Naitwa James nimeoa na nina watoto wa4, pamoja na kua nimeoa ila nje nina mchepuko

Nilipokua na huu mchepuko kwa mara ya kwanza kufanya nae mapenzi nilipiga show nzuri tu bila tatizo lolote siku nyingine Nilipo taka kufanya nae mapenzi kwa mara ya pili uume wangu ulisimama kabla ya tendo baadae ukanywea na nikashindwa kusimamisha tena na kushindwa kufanya tendo nikajua ni hali tu ya kawaida na yeye akanielewa

Kwa mara ya tatu nimekutana nae tena nikafanikiwa kusimamisha uume na tu Kashiriki tendo vizuri tu

Kwa mara ya nne uume ulisimama ghafla ukanywea tena nikashindwa tena kufanya tendo tukaondoka lodge

Kwa mara ya tano pia Hali imejitokeza hivi hivi uume unasimama baadae unanywea kabla ya tendo.

NAHITAJI MSAADA WENU WAKUU JUU YA TATIZO HILI, HALI HII INANIFANYA NIOGOPE HATA KUMUOMBA TENA GAME. AMEKUA AKINIOMBA TUFANYE NAE NIMEKUA NAMKWEPA KWEPA SIJUI TATIZO NINI

Naomba mnisaidie. Uume wangu unashindwa kusimama. NISAIDIENI TAFADHALI
 
Huu uzi una kichwa cha habari viwili naona.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Pole sana kijana. Utakuwa na mawazo yanakusumbua ndio maana hali hiyo inakutokea. Au labda unakosa hisia juu yake baada ya kufanya nae mapenzi siku ya kwanza na kugundua kuwa hakuna kipya kwake. Hii huwatokea wanaume lakini tiba yake ni kupunguza michepuko maana muda mwingine unapoteza hisia ukikumbuka demu unayemgegeda hamfikii uliyemgegeda siku za nyuma. Pia, kitu cha msingi usiyachukulie mapenzi Kama mashindano kwamba kutakuwa na mshindi...tuliza akili yako na utapiga show matata. Kumbuka kuna Ukimwi pia usije ukamuangamiza mkeo.
 
Kama hausimami achana naye huyo mwanamke hakufai, rudi kwa mkeo
 
Back
Top Bottom