Uume wangu unasimama sana hadi unauma, shida ni nini?

Uume wangu unasimama sana hadi unauma, shida ni nini?

Jamani shida nini, yaani uume wangu unasimama sana na misuli yake inakaza sana mpaka naumia.
Erectile Dysfunction / priapism...ni abnormal circulation of blood ktk mishipa ya uume. Na sababu ziko nyingi Ila common ni
1. sickle cell
2 .malaria
3. Leukemia (kansa ya damu)
Jamaniii si kila Kusimamisha ni uanaume
NB.KAMUONE DAKTAR MAPEMA SANA....
Thnxxx
 
Back
Top Bottom