Uume wangu unatoa usaha

Uume wangu unatoa usaha

tatizo la kawaida


tafuta mpapai dume (ule usotoa papai) chimba miziz yake chemsha kwa mda mrefu



subir maji yopoe




tumia kikombe kimo mara 3 kwa siku kwa siku 5



utapona kabisa



FAIDA



utakuwa na nguvu za kiume kuliko zamani


utapona magonjwa ya zinaa yote yanayosababishwa na bacteria
 
Mostly ni Gonorrhoea,
Fika hosp na partiner wako mpatiwe dawa (hata km partner wako hana dalili yoyote dawa lazima atumie)

Tumia condom correctly and consistency
 
Mfano una njaa sana halafu mbele yako chakula kinakatiza si huwa unatoa udenda!?.
Mfano mbwa anavyotamani chakula si huwa anatoa udenda!?.
Iweje kichwa cha chini chenye fahamu na hisia zake karii sana kisitoe udenda sasa!?
🙂🙂
 
Gonjwa La Zinaaa Hilo
Linatibika wahi mapema hospitali
nadhani utakuwa unadungwa sindano na vidonge kidogo
usije jaribu kwenda phamarcy ukanunua dawa itakugarimu mnoooo
JItahidi kunywa maji kwa wingi ili ukienda kukojoa usipate maumivu
Zingatia kwenda hospital inatibika
 
pole sana mkuu....nenda hospital kabla gegedo halijaanza kupukutika gono hilo ... alafu kumbuka uliyeuza naye mechi naye aende hospital
 
Daaah Jf kuna watu bhn

Mara nenda hospitali hiyo ni Kaswende,Gonorea,Ukimwi,Gono,RIP,

duuh noma.jokes

sasa aende wapi.MUOMBE MUNGU WAKO
 
Back
Top Bottom