Uundaji magari

Uundaji magari

Uunde pikipiki kwa gharama ya laki 5!! Hayo material ya kufanyia hiyo kazi amekupa nyanya yako!

Gari uunde kwa million 2 [emoji23] [emoji23] brother kuwa serious na uundaji.
Sasa kama hiyo pikipiki hapa bongo inauzwa milioni mbili kwa pesa zetu za madafu pamoja na kodi za tra plus usafiri mpaka kuifikisha hapa huko China bei ya jumla imeuzwa sh.ngapi na je gharama ya kuitengeneza kiwandani imecost sh.ngapi fikiria upya wazo la huyu mtu
 
Gharama nafuu sana kwa maelezo yake hakuweka wazi beibgan ila kwa production kubwa ukianza utapata vtu vingi kwa jumla na bei itapungua sana ila sio kwa bei ndogo kama alivo sema.
Mwambie kama pikipiki ya machina hapa bongo inauzwa milioni plus kodi Mara uchafu mwingi huko China imeuzwa kwa sh.ngapi bei ya jumla na kiwandani imetengenezwa kwa gharama ya sh.ngapi kama kwetu tu tunauziwa milioni mbili hili linawezekana
 
Sasa kama hiyo pikipiki hapa bongo inauzwa milioni mbili kwa pesa zetu za madafu pamoja na kodi za tra plus usafiri mpaka kuifikisha hapa huko China bei ya jumla imeuzwa sh.ngapi na je gharama ya kuitengeneza kiwandani imecost sh.ngapi fikiria upya wazo la huyu mtu
Unajua bei ya gurudumu la pikipiki? Unakaa kutazama kuhusu China hujui wenyewe wana malighafi na utaalamu wao tu ni mtaji wa kutosha kuzalisha kwa gharama ndogo.

Malighafi utakazohitaji wewe ni zile ambazo tayari zimekuwa tayari ambazo upatikanaji wake lazima uwe juu.
 
Hivyo vifaa vya kuunda hiyo pikipiki hapa nchini unaviokota au unapaswa kununua. Chombo cha moto ni injini hebu niambie ni wapi atapata injini ya chombo chake kwa laki moja!

Hebu fungua kichwa kuunda ni suala la kuhitaji mtaji wa kutosha, maana kila kitu utanunua ili wewe ufunge.
Mwambie kama pikipiki ya machina hapa bongo inauzwa milioni plus kodi Mara uchafu mwingi huko China imeuzwa kwa sh.ngapi bei ya jumla na kiwandani imetengenezwa kwa gharama ya sh.ngapi kama kwetu tu tunauziwa milioni mbili hili linawezekana
 
Hivyo vifaa vya kuunda hiyo pikipiki hapa nchini unaviokota au unapaswa kununua. Chombo cha moto ni injini hebu niambie ni wapi atapata injini ya chombo chake kwa laki moja!

Hebu fungua kichwa kuunda ni suala la kuhitaji mtaji wa kutosha, maana kila kitu utanunua ili wewe ufunge.
Labda anataka kutengeneza machine yake mwenyewe kwa magome ya mti...
 
Mwambie kama pikipiki ya machina hapa bongo inauzwa milioni plus kodi Mara uchafu mwingi huko China imeuzwa kwa sh.ngapi bei ya jumla na kiwandani imetengenezwa kwa gharama ya sh.ngapi kama kwetu tu tunauziwa milioni mbili hili linawezekana
Weweee angalia mambo yakulinganisha awo china wamekeza pesa na teknolojia kubwa ya computation na wanazalisha in big volume yaani mamilion ya pikipiki wanauza kwa bei ndogo faida wanapata kwa idadi kubwa ya bidhaa wanazouza Duniani na idadi hizi wanazifikia kwasababu ya teknolojia yao...sasa wewe unalinganisha na mbongo sijui kafanyaje anayo iyo pesa ya Kununua components mbalimbali zinazotengenezea pikipiki au unafiki zinaokotwa kama unavyosema eti chuma chakavu, ok anayo teknolojia ya kutengeneza au ndio fundi mchundo....mambo mengine sie tunyooshe mikon juu tu tusibiri Siku ya mwisho tufe.
 
Wapendwa kwani lazima tuige mifumo ya kiteknolojia ya wenzetu si tunaweza fanya kitu chepesi tu kutokana na mazingira yetu, mfano kuna magari yameunganishwa kwa mfumo wa kutumia gesi na umeme na hii teknolojia imefanyika nchini tena kwa gharama ndogo tu jamani.
Please, wataalamu mimi bado ninaimani na nyinyi kwa sehemu kubwa sana.
Wataalamu mkiamua tunaweza kutumia malighafi za kawaida zinazopatikana kwenye mazingira yetu ambazo ni nafuu (mkaunda injini, nk). Ninaimani wateja (soko la ndani) ni kubwa wataalamu wetu.
 
Back
Top Bottom