nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Nimejiuliza juu ya baraza lijalo la vijana, nini kusudi la baraza hilo?
Taasisi za dini kuna mabaraza ya vijana
Bunge ni chombo cha kuwasemea Watanzania wote wakiwemo vijana.
Au ni janjajanja ya CCM kuwarubuni vijana ili kufanikisha chaguzi?
Ama CCM mnahangaika!
- Kuna UVCCM
- Kina BAVICHA
Taasisi za dini kuna mabaraza ya vijana
Bunge ni chombo cha kuwasemea Watanzania wote wakiwemo vijana.
Au ni janjajanja ya CCM kuwarubuni vijana ili kufanikisha chaguzi?
Ama CCM mnahangaika!