Uundwaji wa Baraza la Vijana Tanzania ni mkakati wa Serikali ya CCM ili kuwarubuni kwa uchaguzi 2025?

Uundwaji wa Baraza la Vijana Tanzania ni mkakati wa Serikali ya CCM ili kuwarubuni kwa uchaguzi 2025?

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
Nimejiuliza juu ya baraza lijalo la vijana, nini kusudi la baraza hilo?
  • Kuna UVCCM
  • Kina BAVICHA
Vyuoni kuna jumuia mbalimbali
Taasisi za dini kuna mabaraza ya vijana

Bunge ni chombo cha kuwasemea Watanzania wote wakiwemo vijana.

Au ni janjajanja ya CCM kuwarubuni vijana ili kufanikisha chaguzi?

Ama CCM mnahangaika!
 
'Vijana wenye hawa wote wamechanvanyikiwa" Mzee mmoja
 
Back
Top Bottom