N nguruka wa kig0ma JF-Expert Member Joined Jan 16, 2020 Posts 2,946 Reaction score 2,932 Aug 16, 2021 #1 Nimejiuliza juu ya baraza lijalo la vijana, nini kusudi la baraza hilo? Kuna UVCCM Kina BAVICHA Vyuoni kuna jumuia mbalimbali Taasisi za dini kuna mabaraza ya vijana Bunge ni chombo cha kuwasemea Watanzania wote wakiwemo vijana. Au ni janjajanja ya CCM kuwarubuni vijana ili kufanikisha chaguzi? Ama CCM mnahangaika!
Nimejiuliza juu ya baraza lijalo la vijana, nini kusudi la baraza hilo? Kuna UVCCM Kina BAVICHA Vyuoni kuna jumuia mbalimbali Taasisi za dini kuna mabaraza ya vijana Bunge ni chombo cha kuwasemea Watanzania wote wakiwemo vijana. Au ni janjajanja ya CCM kuwarubuni vijana ili kufanikisha chaguzi? Ama CCM mnahangaika!
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Aug 17, 2021 #2 'Vijana wenye hawa wote wamechanvanyikiwa" Mzee mmoja