Kwa manufaa ya imani zetu za dini tumekusamehe na kwa manufaa ya taifa ondoka ofisini ili vijana wetu wajifunze kutoka kwako kuwa ofisi ya umma ni sehemu takatifu.Kusamehewa ni wajibu, nami nimeshasamehe kabisa...
Lakini kanuni ya msamaha haihusiani na mtu kutowajibika kwa kubeba athari za tabia au matendo yake maovu...
Hii ni definition yako ya tusi?Kwa hiyo unanilazimishia definition yako ya tusi ndiyo iwe definition yangu pia?Wewe ni nani hata utoe definition ya tusi kwa niaba ya watu wengine wa dunia hii?Yaani unanisukumizia hisia zako za maana ya tusi ndiyo iwe definition ya tusi?Tusi ni neno lolote ambalo huwezi kumwambia mama yako au baba yako au unayemheshimu.
Hiki kipimo chako kwamba kumwambia mtu "macho yako" au "kichwa chako" ni tusi umekitoa wapi?Yaani umetoa wapi hii SI unit ya tusi?Wewe ndiye kipimo?Hata kumwambia mtu "macho yako" "kichwa chako" ni tusi.
Na tena katukana kwa msisitizo zaidi ya mara tatu .Hakuna kiongozi hapo just rubbish.Huyu Mkuu wa Wilaya, Kasesela anasubiri kutenguliwa badala ya kujiuzulu mwenyewe?
Anampima Mama kama ana masikio yanayosikia na macho ya kuona matusi aliyoyasema hadharani?
Kosa lile la kutukana hadharani linastahili kusamehewa? Lile ni kosa la jinai
Mtu anapofikia kuomba msamaha ni vizuri kumsamehe maana ni wachache sana wenye kuweza kuomba msamahaBinafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehe bila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe.
Ulimi hauna mfupa.
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033
Kwani tatizo lako nini mimi nimetoa maoni yangu kumuomba Rais mama samia kwani wewe ni Rais mama samia?Kwani Tanzania nzima Mtu anayetakiwa Kuteuliwa katika Uongozi sehemu mbalimbali ni DC Jokate Mwogelo pekee? Acha ( Acheni ) Unafiki na kuendeleza Maslahi yenu na Kujipendekeza kwa Wakubwa nchini.
Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehe bila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe.
Ulimi hauna mfupa.
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033
Naam, naunga mkono hili la kuomba radhi.Big UP Kasesera, huo ndio uungwana!
Ni utamaduni mgeni katika miaka ya karibuni, kwa kiongozi kuomba radhi kwa makosa yasiyopendeza katika jamii, na Kasesera kaonyesha njia.
Siyo wale wanajiona wanajua kila kitu.
Wajaribu mods uoneJamani hivi matako ni matusi au kiungo kimojawapo cha mwili kama mabega,kifua,kiungo nk? Nawakilisha
hata hawara aliyekuwa anamrekodi kacheka mimi ni nani hata nisicheke ππππππ kwan alieambiwa matako ye anasemaje??Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehe bila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe.
Ulimi hauna mfupa.
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033
Acheni unoko jamaniAmwite yule kijana amuombe msamaha.
Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehe bila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe.
Ulimi hauna mfupa.
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033