UUUUUUMH CHIPS

UUUUUUMH CHIPS

Duuuhw unakosa utamu Those days Advance aseeeh kande ulkuwa unajaza kwenye handaki zako zote ulizonazo.. unaipga ijumaa mchana jioni asubuhi na pora afu mida ya sa8 kabla ya lunch ile unareview reactions za Organic chemistry huku unamalizia kande zako... kande oyeeeeeeeh

Typed Using KIDOLE
Bora nipige dash..sizipendi
 
pol
Kitimoto
wewe ni muislamu ? kama sio,pole sana mkuu unakosa utamu, mnyama huyo ni mtamu kinoma, mimi hua mchana napiga nusu na ndizi tano, usiku pia nusu nyingine nashushia na soda
 
Back
Top Bottom