tafuta jacket la sufii mkuu, leather huwa inasharabu baridi mbaya....au hali ikiwa mbaya zaidi unaweza tafuta msaada wa 36 °C kama Adam
Tafuta blanketi chapa mtu!
Inasaidia ka dakika chache sana aiseepole sana, kwa baridi ya huko hata ku-doo hakusaidii kupunguza baridi.....
pole sana, kwa baridi ya huko hata ku-doo hakusaidii kupunguza baridi.....
Asante "Mama Paroko" kwa kumpa kijana NENO!
Inasaidia ka dakika chache sana aisee
Mh sina comment hapo maana nimeongea tu ila sina uzoefuhaisaidii hata dakika moja....
Tafuta blanketi chapa mtu!
Dogo komaa aisee
Mi nilishawahi kuishi huko hadi LUPILA kama unapasikia ni noma!
Mwaka jana nilikuja mitaa ya Njombe ilikuwa Nov ila sikuvua jacket hata mara moja..sasa kwa sasa naamini hali ni mbaya sana hapo!
Pole sana aisee lol
Vaa manguo ya kutosha ila usiguse ile kitu utaumia!
Ndeeeeeti