Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 133
Yaani asubuhi hii nimeitumia laptop yangu. Halafu nikaiweka kwenye screen server, na kwenda kufanya shughuli nyingine. Nilipoirudia tena nikakutana na ujumbe umejaa screen mzima ukisema kitu kama hivi "An error has occured. If you are getting this message for the first time, then restart your computer."
Sijawahi kuuona huu ujumbe before... Kwa hiyo nika restart. Lakini baada ya sekunde chache, ujumbe ukaja ukiniambia kuwa eti "Operating System not found."
Je ina maana kuwa OS yangu imekuwa wiped off? Au ndo ma-hackers wameiba OS yangu?
Uzuri ni kwamba nina backup OS, lakini ninasita ku-reinstall mpaka nijue nini kimesababisha tatizo ili.
Jambo jingine, nina wasiwasi kama niki-reinstall OS nitaweza ku-recover file zilikuwapo kwenye OS iliyo crush?
By the way, OS yenyewe ilikuwa Windows XP