Kifai JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 816 Reaction score 173 Dec 9, 2014 #1 Yani nikimeza tuu dawa hizi lazima nipate kizunguzungu na kichwa kuuma vibaya mno, pia nahisi kichefuchefu mbaya mno, kwa wataalam naombeni kama kuwa mtu anajua mbadala wa dawa hizi jamani, nilipewa kwa ajili ya amoeba Attachments 1418130957347.jpg 95 KB · Views: 166
Yani nikimeza tuu dawa hizi lazima nipate kizunguzungu na kichwa kuuma vibaya mno, pia nahisi kichefuchefu mbaya mno, kwa wataalam naombeni kama kuwa mtu anajua mbadala wa dawa hizi jamani, nilipewa kwa ajili ya amoeba