Uuwi hizi nataka zinanifanya nijihisi kufa

Uuwi hizi nataka zinanifanya nijihisi kufa

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Yani nikimeza tuu dawa hizi lazima nipate kizunguzungu na kichwa kuuma vibaya mno, pia nahisi kichefuchefu mbaya mno, kwa wataalam naombeni kama kuwa mtu anajua mbadala wa dawa hizi jamani, nilipewa kwa ajili ya amoeba
 

Attachments

  • 1418130957347.jpg
    1418130957347.jpg
    95 KB · Views: 166
Back
Top Bottom