M Majo JR New Member Joined Mar 14, 2023 Posts 4 Reaction score 1 Mar 29, 2023 #1 Habari ya Wakati huu.. Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wino (Pen) hapa Tanzania. Naomba kufahamishwa wapi kilipo Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wiko/peni hapa Tanzania. Nataka kuanza Biashara ya uuzaji na usambazaji wa Bidhaa hii ya Kalamu za wiko.
Habari ya Wakati huu.. Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wino (Pen) hapa Tanzania. Naomba kufahamishwa wapi kilipo Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wiko/peni hapa Tanzania. Nataka kuanza Biashara ya uuzaji na usambazaji wa Bidhaa hii ya Kalamu za wiko.