Uuzaji na Usambazaji wa Kalamu za Wino/ pen

Uuzaji na Usambazaji wa Kalamu za Wino/ pen

Majo JR

New Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Habari ya Wakati huu..

Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wino (Pen) hapa Tanzania.

Naomba kufahamishwa wapi kilipo Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wiko/peni hapa Tanzania.

Nataka kuanza Biashara ya uuzaji na usambazaji wa Bidhaa hii ya Kalamu za wiko.
 
Back
Top Bottom