Habari ya Wakati huu..
Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wino (Pen) hapa Tanzania.
Naomba kufahamishwa wapi kilipo Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wiko/peni hapa Tanzania.
Nataka kuanza Biashara ya uuzaji na usambazaji wa Bidhaa hii ya Kalamu za wiko.