white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Kwa hiyo hizo sheria ndogo ndogo ambazo zinatungwa na halimashauri /manisipaa huwa ni za nini? Kwani miaka ya nyuma yote pombe ilikuwa inajulikana inapatikana sehemu gani, na wanakuwa na leseni, mbona hawakuachiwa wanywaji waamue? Sehemu nyingi kwa sasa kwenye sehemu rasmi za kuuzia pombe kuna muda maalum wa kuuza pombe, kwanini wasiwaachie wanywaji tu, wajiamulie,ukisema uendeshe nchi kwa kuwaacha watu ndio waji control kwenye mambo, utaaweza kuongoza kweli?! Ndio maana kuna by laws, uzoaji taka tu kuna sheria zinazosimamia sembuse kwenye pombe?Sio kila kitu kuiita serikali iingilie kati, kama wanywaji hawawezi kujicontrol basi serikali haitaweza kufanya lolote maana shida inaanzia kwenye akili za wanywaji.
Inasikitisha sana ndugu...siasa zinatupeleka pabaya sanaHapo mkuu umenena vizuri!! Ki ukweli wenye bar/grocery nawaonea huruma sana kwani leseni ina masharti kibao, kufungua ndio hiyo jioni, ulipe pango, tra, leseni, halafu kuna mtu ana kibanda tu, hasumbuliwi yeye toka asubuhi hadi asubuhi anauza tu, na wala hasumbuliwi kisa ana kitambulisho cha 20,000 na wengine hawana hata hicho kitambulisho. Kisa mambo ya siasa, mbona zamani haya kuwepo? Ni awami hii tu, sheria hazina umuhimu bali ni matakwa ya kiongozi!! Siku moja nilimsikia trafic mmoja anazungumzia kuhusu hao wafanya biashara wa pembeni mwa barabara akasema kisheria, ni marufuku, ila kwakiwa wameambiwa wawaache hawana jinsi, japo ni hatari sana!!!
Inshu sio biashara nyingine, au mtaji mkubwa, ila ni suala la utaratibu tu!! Popote kule uuzaji pombe una utaratibu wake, ndio maana hata leseni zake zinakuwa na masharti mengi,. Mfano biashara ya chuma chakavu kwa sasa zina masharti magumu, baada ya kuwa watu walikuwa wananunua hata mabomu bila kujua, wee pombe hadi,pembezoni mwa barabara?!!!wape biashara nyingine ya kufanya pia usisahau kuwapa na mitaji mikubwa.